Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Vipi ampashi kiporo kweli?
 
Wahuni wanataka mchebwedee hawataki kuwa wazazi wa kijana!
Hio ndio shida kawa wahuni, maana mapenzi ya single mother hua mara nyingi yameshikiliwa na mtoto wake, ukishampenda mwanae basi unakua umemaliza kila kitu.
Hata vijizawadi usimletee yeye we mletee tu mwanae na mabusu we mpige tu mwanae huko uvunguni mama mtu anaanza kuloana.

Maendeleo hayana chama
 
Kiutu uzima matatizo ya single mother mengi tunayasababisha wenyewe na mkumbuke ukimwacha mwanamke na mtoto yeye yuko radhi hata ajiuze alee mtoto au watoto, mama hufa na wanae lakini baba hufa peke yake na tungekua wanaume tunauelewa wa malezi kwa wanawake tulioachana nao kamwe shida haipo
 
Hiki kiji Technique safi sana, nitakijaribu nione kama kweli ndicho!
 
Wanaume tusikubali kuwadhalilisha wanawake ambao ni mama za watu wengine na wengi mnaoandika hayo hampo kwenye ndoa hivo tuwaheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…