Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kumbuka unakuwa umeoa mke wa mtu hapoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupenda mtoto ambaye Ni bao la mwanaume mwingine ngumu Sana in short kuoa single mother Ni kipaji Kama messi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So kwasababu mtu mama ake Ni single mother so na yeye aoe single mother???? Umesoma Hadi darasa la ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. ☹️☹️☹️☹️
Huoni kuwa hizo lawama, gubu na mengine inatokana na maumivu ambayo sisi wanaume
tumemfanyia kwa kuweka ahadi za uongo, kumpamba kinafiki, na mengineyo mengi na baada ya kukidhi haja zetu tunasepa.
Hapa nani wa kulaumiwa? Mtenda au Mtendwa?
 
Acha kuhamisha goli kingese bhana,unakua Kama sio shoga??? Huo mfano wako Ni mfu na Wala haihusiani na maada,tusichoshana bwana Mimi bado sijala

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe siyo multidimensional thinker ingawa umekuwepo jamvini karibu miaka 4 sasa.
Mimi sipendi matusi maana ada ya mja ni maneno, muungwana ni vitendo.inaeleweka kuwa 'kwenye kundi la watu awapo mwanaharamu atajulikana kwa maneno yake tu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…