Yote ni mizigo hujui mtu akiishazaa na mtu ni shida tupu? Anatumia mwanya kuja kuwaona watoto au mke kuwapeleka wamsalimie baba.
Oh mara mtoto anaumwa, mara aje achukuwe zawadi za besidei, mara baba yao anataka kuwatoa out, mara what what yaani shida tupu.
Watoto ni baraka, na hawa watoto wa single parent hawana dhambi yoyote tatizo ni ujinga wa wazazi wao waliowaleta duniani
Ubahili wako utakuponza hao wa dotcom wanakuchuna kwa sababu ujamuoa ukioa anatulia.
Single parent inatesa staki kuisikia hata kwa ndugu yangu.
Vip na wewe tiyari una mtoto?? Kama hauna achana na single mother