Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

unaweza ukakuta hata huyo wa watoto 3 ni wa baba tofauti... we angalia tabia tu mkuu..!
 
Tafuta mwenye watoto watano wa baba tofauti

Hongera sana chief,
 
..mwingine ana watoto 3 wote baba mmoja..

Sounds like the wife of somebody. Yaani huyo baba anatupia tu kids, 1,2,3.....what makes you think hatotupia tena wa nne na wewe ukiwa ndani humo?
 
Sounds like the wife of somebody. Yaani huyo baba anatupia tu kids, 1,2,3.....what makes you think hatotupia tena wa nne na wewe ukiwa ndani humo?
Nimeanza nae mahusiano,akiwa na huyu mtoto wa mwisho mdogo wengine wapo kwao! Kuhusu mzazi mwenzie ameshaoa...
 
Yote ni mizigo hujui mtu akiishazaa na mtu ni shida tupu? Anatumia mwanya kuja kuwaona watoto au mke kuwapeleka wamsalimie baba.

Oh mara mtoto anaumwa, mara aje achukuwe zawadi za besidei, mara baba yao anataka kuwatoa out, mara what what yaani shida tupu.

Watoto ni baraka, na hawa watoto wa single parent hawana dhambi yoyote tatizo ni ujinga wa wazazi wao waliowaleta duniani

Ubahili wako utakuponza hao wa dotcom wanakuchuna kwa sababu ujamuoa ukioa anatulia.

Single parent inatesa staki kuisikia hata kwa ndugu yangu.

Vip na wewe tiyari una mtoto?? Kama hauna achana na single mother
 
Back
Top Bottom