Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hivi single mother huwa wanazalishwa na nani??

Au mimba huwa inajitunga yenyewe??
 
Yamkini ulipata single mother,ambae yy ndo alijisababishia kuwa single,
Lkn pia ulipata single mother mbumbumbu na asiye na kazi,ambae anakutegemea kwa kila jambo,
Na la zaidi yamkini ww hauna mtoto ila yy mwanae yupo hapo hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyemzalisha awali ndio familia yake ya kwanza. Hawezi msahau aliyempa mimba. Hiyo ndio familia yake. Usijipe moyo.
 
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…