Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hivi single mother huwa wanazalishwa na nani??

Au mimba huwa inajitunga yenyewe??
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️
Yamkini ulipata single mother,ambae yy ndo alijisababishia kuwa single,
Lkn pia ulipata single mother mbumbumbu na asiye na kazi,ambae anakutegemea kwa kila jambo,
Na la zaidi yamkini ww hauna mtoto ila yy mwanae yupo hapo hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kwa moja niende kwenye mada!

Baada ya kushindwana na mzazi mwenza adi kufikia hatua ya kutafuta ustarabu wangu na kuludi maisha ya ubachela, sasa nimeamua kuanza maisha mapya na binti fulani ambaye niliwai kufanya nae kazi siku za nyuma, aliteswa na mzazi mwenzie akatelekezwa kwasasa anapambana kivyake na mwanae.

Sasa huyu binti alikua kama rafiki tu lakini kuna kitu nimeona ndani yake

1) Anajua kutafuta maisha
2) Hana mambo ya usistaduu
3) Ni mrembo na anajielewa sana

Changamoto kubwa inayonitatiza kwake ni hile picha aliyonayo kichwani kwake maana alichukia kabisa swala la mahusiano na nimetumia nguvu kubwa kumludisha kwenye ulimwengu huo.

Hili lina tatizo au ni faida kwakua kapitia hali flani ya matatizo labda atakua mama bora wa familia yangu?
Aliyemzalisha awali ndio familia yake ya kwanza. Hawezi msahau aliyempa mimba. Hiyo ndio familia yake. Usijipe moyo.
 
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
 
Back
Top Bottom