hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Ni tatizo ambalo jamii inapaswa kulitizama kwa jicho kali kwani nchi inaweza kutengeneza kizazi cha familia za "mzazi mmoja".Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Uwezekano wa kuwa kama wewe ni mkubwa ila kama amekuwa tofauti ni heri by the way hongera sana.Acha uongo wewe mbona binti yangu keshaolewa na ana wajukuu wanne mmoja anaolewa mwaka huu. Rudia research yako
Similarly, like father, like son!Like mother, like daughter
Wewe chukua namba yake tuma pm, acha maneno mengi kikubwa awe dar na asiwe chini ya miaka 30 hata akiwa na watoto wawili haina shida!Nitumie namba yako nimpe akutafute wewe..
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Kah hivi baba Ana muda wakulea ???hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Hakunaga mama mzazi wa hivi!Mama anamfundisha mwanae udangaji hii dunia ina mengi.
Malezi ya mama. Mtoto anakuwa anaona hakuna baba. Kutokana na aliyopitia mama.. anamjengea picha chafu mwanae kuwa wanaume si wazuri. Guess what.. akikua anaendeleza cycle. Mpaka itakapotokea wamechange mawazo yao for good.hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Ndio maana amesema kuna uwezekano.. ila si lazima asiolewe.Acha uongo wewe mbona binti yangu keshaolewa na ana wajukuu wanne mmoja anaolewa mwaka huu. Rudia research yako
Hata kama akiolewa chnaces ni kwamba baada ya mda ataachika kwa kuomba mwebyewe.maana mama alimueleza kwamba wanaume wengi ni shida.hivyo akipata figisu kidogo tu anacahapa lapaUwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Hakunaga mama mzazi wa hivi!
Hivi ni lini mtakuja tambua mtoto wa kike na wa kiume ni tofauti ktk haya masuala? Sasa wewe mwambie binti yako amuige mtoto wa kiume uone jamii itamuita nani.Kumbe mtoto wa kiume wao hawazaagi nje ya ndoa au kabla ya ndoa basi sawa.
Kanisani kwetu wanawake wana session yao wanaomba kupata waume, wengi wao single mothers.Mbona tunakoelekea single mother ni kawaida sana anachotakiwa ni awe anauwezo wakulea mwanae basi
Sent using Jamii Forums mobile app