hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.