Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
 
Ni tatizo ambalo jamii inapaswa kulitizama kwa jicho kali kwani nchi inaweza kutengeneza kizazi cha familia za "mzazi mmoja".

Nawapinga sana, tena kwa nguvu, wanawake wanatotetea "single motherhood" ati kwa kuwa tu wana uwezo wa kulea watoto wao. Hata wanyama nao wanaishi kifamilia.

Wewe "single mother" jifikirie kwanza maisha unayoishi kulinganisha na yale uliyoishi ukiwa kwa baba na mama. Pia fikiria haki ya mwanao kuwa na mtu ambaye anamwita "baba". Ubinafsi usiharibu kizazi cha kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.

hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Kah hivi baba Ana muda wakulea ???
 
hii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Malezi ya mama. Mtoto anakuwa anaona hakuna baba. Kutokana na aliyopitia mama.. anamjengea picha chafu mwanae kuwa wanaume si wazuri. Guess what.. akikua anaendeleza cycle. Mpaka itakapotokea wamechange mawazo yao for good.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Hata kama akiolewa chnaces ni kwamba baada ya mda ataachika kwa kuomba mwebyewe.maana mama alimueleza kwamba wanaume wengi ni shida.hivyo akipata figisu kidogo tu anacahapa lapa
 
Tatizo linaanzia kwa hao single mom kuwalisha sumu watoto wao kuwa wanaume wote ni wabaya kuwa baba yake alimkimbia. Matokeo yake anakuja tegewa tu siku moja liti kinanasa.
 
Back
Top Bottom