mbinu nzuriKwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!
Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Mbinu ya kufanya nini Mkuu?mbinu nzuri
Ya kutudaka masingo mom...Mbinu ya kufanya nini Mkuu?
soma baada ya comment yakoMbinu ya kufanya nini Mkuu?
HahahahaYa kutudaka masingo mom...
Hujambo wewe apo mdaka chozi wa auntie
Nilikua sijakuelewa Mkuu,ila kama ni hao ninao wa kutosha tu,wala sihitaji kutumia mbinu!soma baada ya comment yako
Kama ndio huyohuyo kazaa?Uzuri wa kuoa single mom ni kuwa unakuwa na uhakika kuwa unaoa mwanamke mwenye kizazi!
Je uzao wake wa kwanza ukiwa sio wa kisu akaja kwako wa pili kisu utamfukuzaNitaoa single mother yeyote kasoro aliyezaa kwa kisu/operation/caesarean section.
Hata uwe na sifa zote ninazohitaji zikajaa mpk pomoni na kuanza kumwagika lakini kamwe siwezi kukuoa kama umezaa kwa operation.
Hii ndo huwa kanuni kuu kwa wote waliooa/wanaotarajia kuoa single mothers.
Kwa hiyo ushauri kwa dada ambaye unaona kabisa unaenda kuwa single mother, jitahidi sana sana usukume mtoto mpk atoke. Ukijichanganya ukazaa kwa kisu uwezekano wako wa kuolewa unazidi kupungua labda uolewe na aliyekuzalisha.
Vipi kwa nyie dada zetu ni sababu ipi inaweza kusababisha usiolewe na single father hata kama ana vigezo vyote?
Cc all single mothers and single fathers.
Hahaha hahahaHahahaha
Sijambo kabisa!
Ukiuanza usingo mom niambie nije nikudake
Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!
Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Ikaweje?Umenikumbusha movie moja yule dada alikuwa yuko so obsessed na kuolewa tena na mtu mwenye pesa ikampelekea kupata mimba ya mtoto wa boss wake kumbe yule kijana hata hampendi na wazazi wa kijana hawamtaki. Kimbembe wakati wa kujifungua zikatokea complications ikaonekana akijifungua kawaida itakuwa hatari kwa uhai wa mama au mtoto, alichowaambia alisema sipo tayari kuchanwa nitaolewa vipi na mshono? Kama ndio hivyo wacha nife tu na huyo mtoto azaliwe hai au mfu sawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app