Wanazalisha.sikuizi wanaume wanazaa?
Wanazalisha.
Sawa mkuu.mbona hukusema wanazalisha. ukasema wanazaa ndo maana ulifeli form two ndo mambo kama haya hujataka kubadilika.
Kwanini?Kama huyo demu ni mfuasi wa chadema piga chini
Kama huyo demu ni mfuasi wa chadema piga chini
Tunataka wa mfano!!wewe oa alafu utakuja kutupa mrejesho..
Kuna maswali ya kujiuliza kabla hujaingia kwenye hiyo ndoa.
Kwanini huyo mzazi mwenzie hajamuoa
Kama walioana kwnini wameachana
Mtoto wao ana umri gani
Huyo mzazi mwenzake ameshaoa mke mwingine?
Uwezo wake kiuchumi/huko akiko anafanya shughuli gani
Nani alimuacha mwenzake?
Kwani ni lazima huyo mke kumpeleka mtoto akamuone kwa huyo mzazi mwenzake?kwanini asimpe aishi naye
Unaoa mke utakaeishi nae wewe. Badala ya kujiuliza kama anakufaa au atamudu changamoto za ndoa, unaanza kujiuliza kama mama atakubali au ndugu zako watakuonaje!
Inawezekana umri umefika but you still lack that maturity thing!
Hiyo itakuwa sio first half bali ushindi wa mezani.Nawewe tafuta mtoto kwa mama mwingine nje kabla hujaoa ili muwe 1-1....yani both team mmescore first half
Wanawake wa siku hizi bana, hadi kwenye kubeti!Nawewe tafuta mtoto kwa mama mwingine nje kabla hujaoa ili muwe 1-1....yani both team mmescore first half
Oohh joanah umenishinda tabia ..yani unazijua mpaka tips za betting ..kweli wewe ni mwanamke wa tofautiNawewe tafuta mtoto kwa mama mwingine nje kabla hujaoa ili muwe 1-1....yani both team mmescore first half
Nyie watu mmenichekesha!! π π π πWanawake wa siku hizi bana, hadi kwenye kubeti!
Sasa tutawaongopea nini asee?
Oohh joanah umenishinda tabia ..yani unazijua mpaka tips za betting ..kweli wewe ni mwanamke wa tofauti
Nb: huwa ninapenda wanawake kama wew wanaojua mambo mengi