Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni kasumba tu hizo, halafu hio rate ya kuachana siku hizi ni kupingana na customs za asili yetu ya Afrika. Biashara ya kutukuza wanawake ilishakatazwa hata na vitabu vya dini ila watu wamekomalia huo ujinga.

A woman has to be led
Utapingwa mkuu, ila tumeiga mengi ambayo yanakuja kutuumiza saivi.
 
Hautaki mwanamke masikini? Siyo wewe uliyesema kuwa siyo kazi ya mwanamke kutafuta pesa na wanaofanya hivyo ni kiherehere chao? Kwamba wewe ni jukumu lako kumhudumia? Siyo wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise
 
Hawaelewekagi hao mara waseme mwanamke usijipe kiherehere cha kulipa bill ama kumpa mwanaume hela,but at the same time ni mabingwa wa kuomba wanawake hela na kulilia wake zao wawasaidie kuhudumia family.Nilichojifunza mwanamke tafuta hela hudumia wanao vyema usiwategemee hawa viumbe kwani wengi ni wategemezi kwa wake ama wapenzi wao kiuchumi kwa sehemu kubwa ila wakija mitandaoni watajitapa kutafuta kik ilhali ukienda kwake waweza kuta mama ndio anacover almost gharama za huduma zote za kuendesha family ikiwemo kusomesha watoto,kulipa matibabu,chakula,kulipa maids ,kulipa kodi ya nyumba kama bado wamepanga nk.
 
Hivi hujatusamehe tu wanyaki?
 
Hatujionagi smart; ila with all honesty nyie ndo mnatuona smart and yes we are very smart. Tunamshukuru Mungu kwa hilo.

Tabia ya ndugu wa kike wa mume kuingilia ndoa ya kijana ipo kwa watu wengi tu. Speaking from experience hakuna ndugu ambaye alifanikiwa kuingilia ndoa za baba zangu; ni wana misimamo hadi basi; ukileta ngebe undugu unaenda likizo kwanza.
 
Unyakyusani kuna
Hivi hujatusamehe tu wanyaki?
Nimewasamehe ila story kichwani haijafutika
 
Ila kwa Mbeya imezidi...Kuna style za watu flani kwenye ukoo kujifanya miungu watu. Kila kitu wana control.

Mrs Right ni mbegu ya Chunya/Songwe, alikuwa na hio character ya dada kasema na mzee wake kila kitu lazma kipitishwe na dada kwanza hata visivyo lazima,...inshort alikuwa anapelekwa kama mtoto ila nikamtwist sahivi tunaenda mstari sasa.

Hio tabia ya flani kuamulia jambo la mwingine siipendi kinoma.
 
Duh aisee
My fello sisters hata mkiona hili bandiko msijione mna mapungufu,no you’re complete na Mungu anawapenda
Daily I see attacks za single mama I hope they don’t mind
 
[emoji28][emoji28][emoji28]sababu unapenda watoto loh
 
Nice content
But was it necessary kutaja kabila la mashemeji zako
Literally enhe sisi wanyaki tunashida gani hebu malizia hapo
 
Hautaki mwanamke masikini? Siyo wewe uliyesema kuwa siyo kazi ya mwanamke kutafuta pesa na wanaofanya hivyo ni kiherehere chao? Kwamba wewe ni jukumu lako kumhudumia? Siyo wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise
Mama uko nyuma yangu sana...😂😂😂 usimuamini mwanasiasa!
 
Hizi ni tabia mwanaume yoyote anaweza kufanya kwani hakuna makabila mengine mtu anatoa mahali ila process za ndoa haziendelei!?
 
Aiseeeeh hao ni watu ambao bongo zao zipo likizo.kila kitu anachotaka kufanya mpaka apate go ahead kutoka kwa ndugu zake huwa wanakera kuwa nao kwenye mahusiano.
 
Hautaki mwanamke masikini? Siyo wewe uliyesema kuwa siyo kazi ya mwanamke kutafuta pesa na wanaofanya hivyo ni kiherehere chao? Kwamba wewe ni jukumu lako kumhudumia? Siyo wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28]dada huwa unaweka notification mtu akitaja mnyaki umo nae

Sisi ni smart and very confident hiki kitu wanatupa wenyewe
 
Hahaha yani ukitaja tu mnyaki mimi nimeshafika on the spot

Kweli bana usmart tumejaaliwa na tuna misimamo iliyotukuka hadi tunaitwa wababe teh
[emoji28][emoji28]dada huwa unaweka notification mtu akitaja mnyaki umo nae

Sisi ni smart and very confident hiki kitu wanatupa wenyewe
 
Aisifiaye mvua imemnyea! Very true u said here congrats For ur research. Yaani umechambua kama karanga
 
But source of single mother is?? And solutions? Than always accusing them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…