Kuna kitu watu hawajui kuhusu wanawake...
Wanawake wanaheshimu sana Mwanaume mwenye options nyingi kwenye kila nyanja ya maisha..
Kama mwanaume anayependa kizezeta,hana kosa ila anatuma taarifa kwa mwanamke kwamba hana options which is bad sababu mwanamke ataanza kutafuta kasoro zako tena nyingine za kijinga tu.
Utashangaa anahudumia huyo sijui sababu mfupi,sijui sababu Ana pua kubwa sijui sababu hajui kutongoza,sijui sababu hajui mapenzi yaani yeye Anaamini mwanaume hawezi kukupa kila kitu labda kama Ana kasoro hivo anatafuta kasoro.. Wanawake Ni kama wameumbwa hawajiamini. Yes,ukipata mwanamke anayejiamini utapata raha sana coz unavyomuhudumia anajua huyu mtu ananithamini hivo anazidi kukuheshimu pata Hawa majority waliozoea drama zA kijinga halafu jaribu kumpa kila kitu uone atakavyo kuona bwege.
Single mothers wanaamini hawawezi kupendwa tena hivo wanaingia kwenye relationship kwa strategy na hapo ndo self fulfil prophesy inatokea..Imani inawaponza.Ila mwanaume timamu huwez oa single mother unless alikuwa na mume na mume kafa.Inauma sana ndo ukweli huu .mkiona mwanaume timamu anataka single mother anA psychological problem achunguzwe tu kwakweli,inaumaaaaaaa lakini kwel.
Tunapenda vitu fresh bikra,kigoli,hajatumika sana.Mi binafsi hata nikupendeje nikisikia una mtoto biashara inaishia hapo,sina mda kabisa nitakutania Tania tu na kubeba mwanao sababu napenda watoto [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]