Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Kwani unafikiri nitajua kama ametoa Mimba mkuu, ila Akiwa na mtoto je?
 
Unazungumzia single mothers wa aina gani? Sio kila single mother alipenda kuwa hivyo, kuna wengine ni single lakini wapo vizur kuliko hao unaotaka tuamini wako vizur.
Unamzungumzia vip single mother aliyetelekezwa na mtu mjinga bila kosa lolote, sasa huyo kwanini hastahili kuolewa?
 
Single mother ni yule aliyezaa nje ya Ndoa
 
Mpendwa unaelewa ile comment yangu niliyo andika kuoa mwanamke aliye toa mimba ni hatari zaidi Kuna matatizo anaweza kupata mwanamke aliyewahi toa ujauzito.
Swala ni kwamba je nitajua kama ametoa Mimba? Nikijua ok sitooa kwa sababu nae ni single mother tu.
 
Umemfanya Mungu anko ehee... Watoe papa kirahisi alfu Mungu ndio awatetee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…