Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hahahaha kwa kweliHaukukosea kabisa kujiita zero IQ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kwa kweliHaukukosea kabisa kujiita zero IQ
No hakuna huwezi kufananisha anaye toa roho ya Kiumbe na anaye baki na mimba afadhali anaye baki nayo japo ni vizuri mwanamke Kuzaa ukiwa kwenye ndoa.Wote janga tupu. Sorry kwa kujibu wakati sijaulizwa mimi.
Kwani unafikiri nitajua kama ametoa Mimba mkuu, ila Akiwa na mtoto je?Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Tunawaheshimu ndio maana hatutaki kuwaoa ili heshima iendeleeNiungane na baba swalehe tuwaheshimuni tu hatutapungukiwa na chochote badala ya kuwasimanga.
Jibu swali yeye asingeitoa Papuchi yake mpaka aolewe mimba ingeingia?Haukukosea kabisa kujiita zero IQ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kama yoteMapovuuuu
Mpendwa unaelewa ile comment yangu niliyo andika kuoa mwanamke aliye toa mimba ni hatari zaidi Kuna matatizo anaweza kupata mwanamke aliyewahi toa ujauzito.Kwani unafikiri nitajua kama ametoa Mimba mkuu, ila Akiwa na mtoto je?
Single mother ni yule aliyezaa nje ya NdoaUnazungumzia single mothers wa aina gani? Sio kila single mother alipenda kuwa hivyo, kuna wengine ni single lakini wapo vizur kuliko hao unaotaka tuamini wako vizur.
Unamzungumzia vip single mother aliyetelekezwa na mtu mjinga bila kosa lolote, sasa huyo kwanini hastahili kuolewa?
Swala ni kwamba je nitajua kama ametoa Mimba? Nikijua ok sitooa kwa sababu nae ni single mother tu.Mpendwa unaelewa ile comment yangu niliyo andika kuoa mwanamke aliye toa mimba ni hatari zaidi Kuna matatizo anaweza kupata mwanamke aliyewahi toa ujauzito.
Umemfanya Mungu anko ehee... Watoe papa kirahisi alfu Mungu ndio awateteeNiwasihi na kuwatia moyo Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers
Kuwa single mother sio dhambi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] AiseeeeeeeeUmemfanya Mungu anko ehee... Watoe papa kirahisi alfu Mungu ndio awatetee
wewe ni connor au the list?Noted
Smart guy
Vipi ambaye alishatoa mimba na pia ni singo mamaEti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Mnanifurahishaga sana mnapowaponda na kuwasimanga single mothers na mwisho wa siku unaenda kuoa mdada aliyetoa mimba 5