Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Kwani unafikiri nitajua kama ametoa Mimba mkuu, ila Akiwa na mtoto je?
 
Unazungumzia single mothers wa aina gani? Sio kila single mother alipenda kuwa hivyo, kuna wengine ni single lakini wapo vizur kuliko hao unaotaka tuamini wako vizur.
Unamzungumzia vip single mother aliyetelekezwa na mtu mjinga bila kosa lolote, sasa huyo kwanini hastahili kuolewa?
 
Single mother ni yule aliyezaa nje ya Ndoa
 
Niwasihi na kuwatia moyo Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers

Kuwa single mother sio dhambi
Umemfanya Mungu anko ehee... Watoe papa kirahisi alfu Mungu ndio awatetee
 
Back
Top Bottom