Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unajifanya huwajui mwanaume wanaokataa mimba wewe .??
Marehemu?

Kupata mimba kwa uzembe kukoje?
Wakati mwanamke kashindwa kuzuia mimba ndo mnaita uzembe,na yule aliekua anamkojolea hajafikiria kuwa anapanda mbegu na kuna ywezekano wa kuota??kwanini mnabebesha lawama zote wanawake tu?
Mbona inajulikana wazi SINGLE MOTHERS NI WALE WALIOPATA MIMBA KWA UZEMBE...alafu wakaachana...
 
Huyo aliyefiwa na mume ni WIDOW sio Single Mother....
 
Wao Watakuja Kujitetea Kwa Nguvu Zote Eti Ooh Kuna Waliobakwa Sijui, Waliofiwa.
Single Maza Wengi Ni Wamekubuhu Kwenye Fani.
Me Nataka Nimchukue Tuanze Marathon. Yeye Kumbe Hadi Alishamalizaga Zamaniii Anaanza Upya!
Nani Anataka? Unachapa Then Unapita Hivi
 
Majibu yako mi meaningless...


Himiza wanaume wasiooa watumie kinga kama hutaki kuwaona single mother.
Na sisi tutahimizana kujiepusha na mimba zisipangwa kupunguza idadi ya sm.

Mwanaume kukaa na kuanza kusemasema wanawake ni tabia za kisichana.acha!!


Yaani mwanaume ndio ajizuie nafikiri unatania, umeshaona wapi mtwishaji mzigo akawaza kuhusu mbebaji?
 
Wewe umeshaonana na Single Father mkuu?

Jukumu la kujilinda ni la kwenu nyinyi wanawake, wewe ukimkataa mwanaume atakulazimisha akutie kwa lazima?
 
siku ya kwaaaaaaaanza kabisa ya kugegeda papuchi ulikutana na single mother ndo maana unadondokea uko kila uchao!

Kama nadanganya nipinge.

But that is a myth!
 
Hivi mbona wanaume wengi mnapenda kutumia hiyo sentensi kama utetezi? Na wewe kwanini umtongoze mwanamke? Si muwe mnawaacha msiwatongoze? Yaani mnawatongoza huko wakati mnajua kuwa mkishawapitia mtawadharau.
Wewe umeshaonana na Single Father mkuu?

Jukumu la kujilinda ni la kwenu nyinyi wanawake, wewe ukimkataa mwanaume atakulazimisha akutie kwa lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…