Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Big point .. Halafu mtu km huyo unakuta amelelewa na mama peke yake au ana ndugu zake wengi tu mi ma single mothers tena ma baba tofauti tofauti leo anakuja kuwapondea watoto wa wenzie....
 
Nachojua nikiweza kumjali mtoto wake na kufurahisha mtoto wake basi nimeshampata mama mtu.

Hayo mambo ya umiliki wa viwanja mtajuana wenyewe.
 
Utam
Utamjuaje huyu ni single mother kwa kubakwa? ? Kufiwa? ??Au mume yupo jela???
Wa mume yuko jera ana huzuni huzuni, na yule wa kubakwa unakuta hayuko sawa mentally wa kufiwa unakuta ana upweke upweke muda wote ila wa kujitakia ni full kubadilisha madera, kupenda sana kwenda kwenye shughuli na vigoma.
 
kwa lugha fupi na nyepesi,
HAKITAMBULIKI KAMA BINADAMU!
Ndo mnavyojidanganya hivyo? Kwa taarifa yako kutokana na tafiti uchwara za kisayansi uhai wa binadamu unaanza kutambulika mara tu baada ya mbegu ya baba kuingia kwenye yai la mama hivyo hata mwanamke atoe mimba ya siku moja atakuwa hana tofauti na yule aliyetoa mimba hata ya miezi tisa
 
Hii mada inanizidi umri binafsi sipendi izi kauli maana hao single maza ni dada zetu ,wapenzi,wetu rafiki zetu lakini kila mtu na namuna anavyo waza ila binafsi hii lugha naichukia na sio nzuri.
Ukifika SA kuwa single mom ni fashion. Huku madada hawataki baba mtoto , wao wanataka mimba tu.
 
Habari yako mwanaharakati wa kujitegemea.
 
sizani kama wanapenda kuwa single ajali haina kinga fahamu.
Acha kuringa hata maraika wakikulinda kwa zamu.
 
Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.
contradicted amezaa nje ya ndoa how?[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…