Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
kwa lugha fupi na nyepesi,Chini ya wiki sita anakuwa hajatoa mimba?
HAKITAMBULIKI KAMA BINADAMU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa lugha fupi na nyepesi,Chini ya wiki sita anakuwa hajatoa mimba?
Big point .. Halafu mtu km huyo unakuta amelelewa na mama peke yake au ana ndugu zake wengi tu mi ma single mothers tena ma baba tofauti tofauti leo anakuja kuwapondea watoto wa wenzie....Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili
Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.
Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
Sawakwa lugha fupi na nyepesi,
HAKITAMBULIKI KAMA BINADAMU!
Utamjuaje huyu ni single mother kwa kubakwa? ? Kufiwa? ??Au mume yupo jela???Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.
Wa mume yuko jera ana huzuni huzuni, na yule wa kubakwa unakuta hayuko sawa mentally wa kufiwa unakuta ana upweke upweke muda wote ila wa kujitakia ni full kubadilisha madera, kupenda sana kwenda kwenye shughuli na vigoma.Utam
Utamjuaje huyu ni single mother kwa kubakwa? ? Kufiwa? ??Au mume yupo jela???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] atatokea mwingine atafanya kama wewe na yeye atampataNachojua nikiweza kumjali mtoto wake na kufurahisha mtoto wake basi nimeshampata mama mtu.
Hayo mambo ya umiliki wa viwanja mtajuana wenyewe.
PovuuuuMada za kutafutia Kiki na umaarufu kunuka jf
Wanawake stuken,potezeen this trash
Unakuta kajitu kanaishi kwenye ka chumba ka stoo huko tandale akipata buku anakimbilia kuanzisha thread upupu jf ili awe maarufu
Hahahahah lmao
KigoliLoh..mi kigori wa nguvu!
[emoji16][emoji16][emoji16] mwambie nilishakuwa maarufu JF kuanzia wakati ule anaingia JF kama Guest user.Povuuuu
Ndo mnavyojidanganya hivyo? Kwa taarifa yako kutokana na tafiti uchwara za kisayansi uhai wa binadamu unaanza kutambulika mara tu baada ya mbegu ya baba kuingia kwenye yai la mama hivyo hata mwanamke atoe mimba ya siku moja atakuwa hana tofauti na yule aliyetoa mimba hata ya miezi tisakwa lugha fupi na nyepesi,
HAKITAMBULIKI KAMA BINADAMU!
Ukifika SA kuwa single mom ni fashion. Huku madada hawataki baba mtoto , wao wanataka mimba tu.Hii mada inanizidi umri binafsi sipendi izi kauli maana hao single maza ni dada zetu ,wapenzi,wetu rafiki zetu lakini kila mtu na namuna anavyo waza ila binafsi hii lugha naichukia na sio nzuri.
Habari yako mwanaharakati wa kujitegemea.Ndo mnavyojidanganya hivyo? Kwa taarifa yako kutokana na tafiti uchwara za kisayansi uhai wa binadamu unaanza kutambulika mara tu baada ya mbegu ya baba kuingia kwenye yai la mama hivyo hata mwanamke atoe mimba ya siku moja atakuwa hana tofauti na yule aliyetoa mimba hata ya miezi tisa
Mada za kutafutia Kiki na umaarufu kunuka jf
Wanawake stuken,potezeen this trash
Unakuta kajitu kanaishi kwenye ka chumba ka stoo huko tandale akipata buku anakimbilia kuanzisha thread upupu jf ili awe maarufu
Hahahahah lmao
sizani kama wanapenda kuwa single ajali haina kinga fahamu.Single mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,
Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,
Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,
Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,
Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.
Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.
Cc Zero IQ
contradicted amezaa nje ya ndoa how?[emoji41]Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.