Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jamani watu mnadhambi dah kwahiyo kama nimeolewa na mtu ananinyanyasa na hana mapenzi na Mimi nikae tu kisa nitaitwa single mother..sitakua na thamani wala kuthaminiwa ..majina mabaya yote yangu Jamani mweee

 
Kuna nyuzi huwa nikikuta maandishi yako nakosa cha kuandika, maana nitaonekana nimecopy kwako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu utakuta anao hata kwenye ukoo wao..au ukoo mzima wanawake wote wapo ndoani?
Hivi akusanye wanawake wote kwenye familia zao awachambe hivi kama anaweza
Mpuuzi kweli
Big point .. Halafu mtu km huyo unakuta amelelewa na mama peke yake au ana ndugu zake wengi tu mi ma single mothers tena ma baba tofauti tofauti leo anakuja kuwapondea watoto wa wenzie....
 
Huyu utakuta anao hata kwenye ukoo wao..au ukoo mzima wanawake wote wapo ndoani?
Hivi akusanye wanawake wote kwenye familia zao awachambe hivi kama anaweza
Mpuuzi kweli
Vipi single mother uko poa,

Kwenye familia yetu tuko 4,ke 3 na Me niko mimi ,

Dada zangu 2 wameshaolewa na wako na familia zao,

Mmoja wa kike na wa mwisho bado yupo skull anasoma.


Note.
Ata kama mmoja wa ndugu zangu angekuwa single mother hii isingeondoa ukweli kwamba mimi siwezi kuoa single mother ever inyeshe mvua litoke jua Never.
 
Kwani wewe ni nani mkuu?
 
Mimi Zero IQ
Sawa Zero IQ wewe unawaponda single mothers kama nani? Je ukiwasifia kuna kitu chochote unawaongezea na ukiwaponda kuna kitu chochote unawapunguzia? Au wewe ukisema hauwaoi unadhani unakuwa umewakomoa? Kwani wao wamesema wanataka kuolewa na wewe?

Una mchango gani kwenye maisha ya single mothers hapa duniani? Una mamlaka gani hapa duniani kiasi kwamba lolote unalosema wewe linaweza likaitetemesha dunia na likawa ndo uhalisia? Hayo maswali usinijibu mimi jiulize na ujijibu mwenyewe halafu ukishajijibu endelea kuwaponda single mothers! Nimemaliza!
 
Aliefiwa na mumewe, aliebakwa, automatically hawahusiki hapa. Lakini wale waliozaa nje ya ndoa kwa kiherehere chao tu, hii inawahusu. Na religiously mwanaume halazimishwi kumtunza mtoto wa aina hio bali anatakiwa atunzwe na mamaake.
Dini ya kipumbavu kabisa hiyo, pia hata aliye acha mtoto kwa kisingizio cha Dini naye ni mpumbavu pia.
 
Niwasifie kwa kuwa single mother mkuu, yaani kwa kutoa papuchi zao bila taadhari ata Mungu mwenyewe atanishangaa.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…