Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sawa single motherNdio maana hatuendelei kila kukicha kuwasema vibaya wenzenu ivi mna roho gani mbona kuna mambo mengi ya kujadili.
Ndio hapo sasa mkuu yaani mabinti wote hao waliozagaa tena unaenda kuoa single bi mkubwaNa kwanini uoe single M wakati kila kona kuna mabinti wazuri tu!
hao ni wakupiga mashine tu,hawafai kuoa....Ndio hapo sasa mkuu yaani mabinti wote hao waliozagaa tena unaenda kuoa single bi mkubwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ukiwasifia wanaume wanawaowazalisha hao wanawake ndo Mungu hakushangai siyo? Hivi unadhani Mungu ni mnafiki kama wewe?Niwasifie kwa kuwa single mother mkuu, yaani kwa kutoa papuchi zao bila taadhari ata Mungu mwenyewe atanishangaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
Hivi unafikiri Mungu anatetea vitu vya kipumbavu kama hivyo mkuu?Ila ukiwasifia wanaume wanawaowazalisha hao wanawake ndo Mungu hakushangai siyo? Hivi unadhani Mungu ni mnafiki kama wewe?
Unaoaje kiwanja kilicholimwahao ni wakupiga mashine tu,hawafai kuoa....
ha ha ha ha itakuwa ni ajabu sana wakati mabinti wabichi wako wengiUnaoaje kiwanja kilicholimwa
Kabisa mkuuha ha ha ha itakuwa ni ajabu sana wakati mabinti wabichi wako wengi
kuna mmoja kajibebesha kitambi huku akijua mi ni mme wa mtu...ili niweze kumpa haki sawa na mrs,wakati hicho kitu kwangu hakiwezekaniKabisa mkuu
Kumbe katibu wa Cabinet,hukupewa hicho cheo bure bure tuSingle mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,
Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,
Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,
Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,
Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.
Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.
Cc Zero IQ
Kweli kabisa mkuu haka katoto kake ka nje utakuta ndio huwa anakapenda kuliko ata wale utakaozaa nae weweKuoa mwanamke mwenye watoto ni hatari sana....hakawii kuja kukugeuka uzeeni yeye na wanawe...haswa katika swala la mali
Alafu baadae masingle mother wenzake watakuja kutetea hapakuna mmoja kajibebesha kitambi huku akijua mi ni mme wa mtu...ili niweze kumpa haki sawa na mrs,wakati hicho kitu kwangu hakiwezekani
Upo sahihi mkuu,pale mbezi beach kuna mzee mwakajuzi alifariki baada ya mkewe kumwambia tugawane watoto na mali tulizochuma,mzee alioa wakati Ajuza ameshafungwa goli 2Kuoa mwanamke mwenye watoto ni hatari sana....hakawii kuja kukugeuka uzeeni yeye na wanawe...haswa katika swala la mali
Na huu ndiyo ukweli mchungu...pia atakuwa anakuibia ili awekeze kwa ajili ya watoto wake aliokuja nao kwako....hatari sanaKweli kabisa mkuu haka katoto kake ka nje utakuta ndio huwa anakapenda kuliko ata wale utakaozaa nae wewe
ha ha ha ha ananipiga mkwara mtoto akiwa na mwezi mmoja atanileteaAlafu baadae masingle mother wenzake watakuja kutetea hapa
Hivi unafikiri Mungu anatetea vitu vya kipumbavu kama hivyo mkuu?