Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Niwasifie kwa kuwa single mother mkuu, yaani kwa kutoa papuchi zao bila taadhari ata Mungu mwenyewe atanishangaa.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
Ila ukiwasifia wanaume wanawaowazalisha hao wanawake ndo Mungu hakushangai siyo? Hivi unadhani Mungu ni mnafiki kama wewe?
 
Single mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,

Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,

Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,

Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,


Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.

Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.



Cc Zero IQ
Kumbe katibu wa Cabinet,hukupewa hicho cheo bure bure tu
 
Kuoa mwanamke mwenye watoto ni hatari sana....hakawii kuja kukugeuka uzeeni yeye na wanawe...haswa katika swala la mali
Kweli kabisa mkuu haka katoto kake ka nje utakuta ndio huwa anakapenda kuliko ata wale utakaozaa nae wewe
 
Kuoa mwanamke mwenye watoto ni hatari sana....hakawii kuja kukugeuka uzeeni yeye na wanawe...haswa katika swala la mali
Upo sahihi mkuu,pale mbezi beach kuna mzee mwakajuzi alifariki baada ya mkewe kumwambia tugawane watoto na mali tulizochuma,mzee alioa wakati Ajuza ameshafungwa goli 2
 
Vitu vya kipumbavu kama vyepi? Mungu anachukia dhambi na hapendi wote wanaume na wanawake wazae kabla ya ndoa ila basi tu kwa sababu ya rehema zake za kila siku anatusamehe dhambi zetu na anatubariki hivyo hivyo na dhambi zetu na ndo maana unakuta hao masingle mothers wengi tu wanabarikiwa

Na unakuta watoto wao wanakuja kufanikiwa maishani pengine kuliko hata wanaozaliwa ndani ya ndoa ndo maana nakwambia wewe ni nani hadi uwahukumu? Na kama kweli unachukizwa na hilo jambo basi unatakiwa kuchukizwa na jinsia zote mbili ambazo ndo zinasababisha mtoto ila siyo jinsia moja ambayo haiwezi kusababisha mtoto yenyewe ifike pahala muache unafiki
Hivi unafikiri Mungu anatetea vitu vya kipumbavu kama hivyo mkuu?
 
Back
Top Bottom