Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kuoa single mother sio tatizo unaweza kumcontrol na single mother weng now days Ni Hawa wasomi je utaweza kumcontrol na 50/50 zao utasikia tu nam Nina check number ukinishindwa niache kwan si umenikuta nalea mtoto mwenyewe.

Na Hawa wengne utasikia nafuata matumizi ya mtoto huko sasa lazima kipigwe
 
A.k.a Mabaharia [emoji1787][emoji1787][emoji1787],,, ila sio siri wahuni sio watu kabisa, mtoto anakula mistari hadi analegea af baharia kumbe hana hata mpango, anam menyesha vitunguu tu binti wa watu na mimba juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mwenyewe kuna mtoto ulizaa ukamtelekeza na Mama yake,na that thing itakutafuna consious yako hadi kiama, that's y una hasira sana na singo moms,inshort unahasira na uliyoyatenda enzi hizo na the memories are haunting daily pole
Mtafute huyo mwanamke na mtoto upate amani ya moyo otherwise utachizika siku si nyingi
 
Kweli kabisa...yani unakuta umeolewa una mipango yako ye yote anaipinga.anaanza kukupangia.uishi na ufanye kile kinachompendeza kama mume.mwingine anakupiga marufuku hakuna kufanya chochote,we kaa nyumbani zaa na kulea basi..ukiongea unaonekana mwanamke mkorofi humtii mumeo ..
Sitaki haya maisha aisee!
 
Kuna walioolewa pia nao hawaletewi msoto km kawaida wa kujitafutia hd chakula,kodi ya nyumba na Nguo za watoto.
Ya kweli hayo?
Hapana wanawake walioolewa hawana hixo shida,mume anatimiza kila kitu ikiwemo chakula,Kodi,matibabu,elimu,mavazi na kumtreat mke kama malkia kama kuna mwanamke kaolewa halafu anapambana kufanya hayo peke yako huyo kajioa
 
Ya kweli hayo?
Hapana wanawake walioolewa hawana hixo shida,mume anatimiza kila kitu ikiwemo chakula,Kodi,matibabu,elimu,mavazi na kumtreat mke kama malkia kama kuna mwanamke kaolewa halafu anapambana kufanya hayo peke yako huyo kajioa
Unaishi dunia ipi? Wapo wengi Sana wanaishi maisha hayo akikaa nje na wanawake wenzake anaficha ili mradi aonekane yupo kwny ndoa. Hadi boxer wananunua.
 
Asante umemjibu vizuri Huyu mkuu
 
I find there’s nothing wrong with marrying single mom if you have already set your own standards as a man. Personally i can wife a single mom under the following stated conditions;

1.I am already a father of one or two children and the woman is a mom of not more than one child.

2.I am old enough(40s) and many ladies who are at reasonable range of age to match up with me are already single moms.

Single mothers ni wanawake kama walivyo wanawake wengine wasiokuwa single mothers!
 
Ukiwa single mama halafu ukasoma thread zinavyowaponda single mothers unaweza ukahisi ndio basi tena yani hata ndoa bye bye....ila turudi kwenye uhalisia huku mitaani tunapoishi mbona single mothers kibao wanaolewa na ndoa zao zinadumu tu? Na kuna wengine wapo kwenye mahusiano na single mothers ila basi tuu kutaka kuonekana hawako nyuma wanakuja kuwapondea humu[emoji849]
 
Siyo hivyo tuu mkuu ukitaka kufa mapema oa single mom,hawa viumbe ni wasumbufu hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…