Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

😂😂😂😂😂😂 yani niwe na hasira kwa kipi sasa, FYI wazee wangu walikuwa wana take care hilo swala undercover. I still have access na ninamsupport mwanamama na chalii yangu sasa nini mbaya?
 
Bora hata wewe unayejua kuwa wote wanaume na wanawake wanatakiwa kujitunza kuliko wengine wanaolazimisha eti wanawake tu ndo wanatakiwa wajitunze ila wanaume waendelee na uhuni wao sasa waendelee na kina nani?
 
Ila kuna situation nina naiona kwasasa nadhani inawezekana tuna tatizo kubwa zaidi ya wanaume wanaokimbia watoto wao.

Kuna katabia especially mabinti wanaokuwa wanamaliza chuo kujishikisha ujauzito kwa matarajio ya kwamba wapate watoto mapema katika umri wao mkubwa na watumie muda uliosalia kutafuta maisha kwa maana ya kazi.

Sasa shida inakuja ni kwamba hawa mabinti mentality wanayokuwa nayo kwa wakati huo ni kwamba wao hawana shida ya mwanaume (usichana), wanajiita boss lady character. Kwakua wamesoma wanaamini watapata ajira na maisha watasimamia bila ya uwepo wa mwanaume, hii mentality na akili chafu ndio inawaponza wengi wa hawa mabinti wanaishia kupata watoto na wanaume ambao ni irresponsible na muda mwingine ni wanaume ambao wapo kwenye ndoa na wake zao.

Sasa kwa akili hizo unategemea hawa viumbe hili janga limewakuta kwa bahati mbaya?!

Nadhani elimu mpya inahitajika kutoka kwa wazazi na walezi kuwaelimisha watoto wa kike umuhimu wa mwanaume katika maisha yake lakini pia watoto wa kiume wajengwe kuwa wawajibikaji na sio wahuni.......
 
Big point .. Halafu mtu km huyo unakuta amelelewa na mama peke yake au ana ndugu zake wengi tu mi ma single mothers tena ma baba tofauti tofauti leo anakuja kuwapondea watoto wa wenzie....
ndo vizuri maana anakuwa anaijua hali halisi ya masingle mother kwa undani zaidi
 
Jibu swali yeye asingeitoa Papuchi yake mpaka aolewe mimba ingeingia?


Mkuu kamwe huwezi bishana na mlevi kuhusu pombe.

Single mother ni last option kabisa huko nikikosa mwanamke.

Nitaassume nimeadhibiwa na Mungu na kulaaniwa. Hiyo tunaita Adhabu na laana
 
Hahahah we hata ukisema ni single mother haina udasi.
 
Hahahah jiwe gizani, ukiskia uwiii ujue limempata mlengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…