Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bibi chenga sana yule, alikuwa analalamika vibinti kuliwa tigo vinaona sifa kufukunyuliwa na miguzo ya umeme wakati mbele papo ni uzwazwa. Barabara safi nyeupe mnakimbilia kwenye Nnya ptu
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Duh.... ndoa na ndoto kipi bora sasa??
Ndoa ya aina gani elezea?

Halafu sasa mwanaume akimkatalia mwanamke kutimiza ndoto zake je atamtimizia yeye hizo ndoto?
 
Kwann wasiwe wapambanaji wakat wanaume vimeo wanashindwa kuwamudu na kuwatunza.mnawazalisha halaf mnawa damp kutwa kuwapiga majungu mitandaon.mnategemea waish vipi na watoto mliowaachia!!?
Wakikaa shida ...wakipambana shida..guys wapen muda basi
 
Hehehehe wewe ni ngumu haya na wanaume wenzenu wakiongea maneno kama haya napo mtasemaje?
Kwann wasiwe wapambanaji wakat wanaume vimeo wanashindwa kuwamudu na kuwatunza.mnawazalisha halaf mnawa damp kutwa kuwapiga majungu mitandaon.mnategemea waish vipi na watoto mliowaachia!!?
Wakikaa shida ...wakipambana shida..guys wapen muda basi
 
( Mimi FirstClass, pasipo kushinikizwa ama kulazimishwa na binadamu yeyote, kwa moyo wangu wote, na nikiwa na akili timamu, natangaza kuwa , NITAOA SINGLE MOTHER. MUNGU NISAIDIE ) *3

Sababu..
-Ni wapambanaji/ watafutaji. Hivyo kwa kushirikiana nae, tutaweza fikia uchumi wa kati kwa urahisi zaidi

-Wanajielewa.

-Historia yangu kwao. Kumbukumbu zinanionesha nakuwa vizuri zaidi ( nanenepa ) nikiwa nao tofaut na nikiwa na hawa watoa mimba ..

-Ni watamu sana..

Dhana potofu za kupuuzwa dhidi yao..

- Usaliti kwa Baba wa mtoto,
Ni rahisi kumdhibiti mwanamke kwa Mzazi mwenzake, tofauti na hawa ambao hauelewi hata nani aliyekuwa anam-gonga huko nyuma.

-Usaliti. Mwanamke yeyote anacheat. Itategemea tu na akili yake mwenyewe na weakness za mwanaume wake.


Kwa hiyo my future wife popote ulipo uwanyime. Maana hata mie huku nilipo nanyimwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…