Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Eti enh??
Hahaha!! Dadaangu huyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!! Dadaangu huyoo
Unaakili sana bintiNyie ndo huwa mnafanya mabinti wanatoa mimba.
Inategemea.Duh.... ndoa na ndoto kipi bora sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bibi chenga sana yule, alikuwa analalamika vibinti kuliwa tigo vinaona sifa kufukunyuliwa na miguzo ya umeme wakati mbele papo ni uzwazwa. Barabara safi nyeupe mnakimbilia kwenye Nnya ptu
Ndoa ya aina gani elezea?Duh.... ndoa na ndoto kipi bora sasa??
Ujue basi hujampata mtu sahihi.
Kwann wasiwe wapambanaji wakat wanaume vimeo wanashindwa kuwamudu na kuwatunza.mnawazalisha halaf mnawa damp kutwa kuwapiga majungu mitandaon.mnategemea waish vipi na watoto mliowaachia!!?
Wakikaa shida ...wakipambana shida..guys wapen muda basi
Umeona rafiki [emoji3][emoji3] pips za kesho fanya unitupie mimi
Fanya kama special case basi [emoji12]Huwa anatupiwa rafiki mwenye chura tu![emoji12][emoji12][emoji12]
Eti enh??
Njoo PM tubonge
Kwako wewe bora yupi Kati ya hawa wawili anaye toa mimba ili asiwe Single mother na anaye baki na mimba hatimaye mtoto yupi kwako bora zaidi?
Hii thread inachoma kama pasi, juzi tu kuna single mother nimembebesha mimba, nishauri mkuu[emoji56]