Ila wanaume wanaowazalisha ni werevu siyo??Ni wajinga hawajui walifanyalo?
U wish.,ndani ya ndoa tu watu wanashusha engine sembuse hukoAn immense burden of evils these serial killers of innocent babies carry in their souls outweigh my evil deeds by million times. We probably won't incur the the same castigation in heaven!
Sisi walimu huwa tunafundisha hivi there's different btn zoology and botany sasa na kwenye huu uzi kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
.
Mwanamke akikandamizwa hovyohovyo anachuja vibaya sanaaa ila mwanaume hachuji zaidi atakufa ghafla tu [emoji23][emoji23]
.
Mwanamke ukizalishwa thamani yako inashuka ila mwanaume aliyekuzalisha thamani yake inapanda sijui kama unanielewa
LegendaryMy jf gentleman of all the time hujawahi niangusha.
Ulaya ya wapi hiyo? Na useme ni nchi gani maana siyo kila nchi ya ulaya imeendelea na imestaarabika!mbona hata ulaya ipo hii au nilete link??
Mbona haziendani na uhalisia uliopo kwenye jamii??mmhh!!! wanawake jitunzeni msizae kabla ya ndoa,mnaona comments za mabaharia hizi
Ahhhh ahhh jmn hahahahKuna mmoja mpaka sasa katoa mimba 17 na mara ya mwisho anasema haya alikua anaogopa labda kabeba mimba ya 18.
wewe ni mwanamke huwezi elewa,ndo maana kasema there is a difference between zoology and botany
Nimekuelewa sana baharia...Narudia kusema,washikaji tusioe!
Mambo ya Mungu bwanaKuna mmoja mpaka sasa katoa mimba 17 na mara ya mwisho anasema haya alikua anaogopa labda kabeba mimba ya 18.
Hivi umekielewa kweli nilichokiandika?
Na nikasome vizuri nini?
.
Hayo maneno ya rangi ya green umeyatoa wapi? Nyie ndio tunawapigaga mimba alafu tunayatelekeza shenzy kabisa
Uliona wapi Mwanaume akawa bikra.
Ninachokiona kwa wanawake wa siku hizi hawana bikra sio tuu za kwenye papuchi bali mpaka akilini.
Imagine mtu anasema mwanaume anabikra. Huyo hata mbuzi anaafadhali.
Kwanza unajua maana ya bikra?
Then you need more exposure kiddo!!Nimekuwepo kwa hii dunia karibu milongo mitatu na nimeishi na jamii karibu zote za hapa nchini. Hivyo nafahamu ninachokiongea dogo.
Oopss SorrySi ni mtu(mwanamke) ambaye hajawahi kutiwa ama?
Pamoja na kwamba wabongo hawapendi tuwaongelee hawa watu kwa sababu zao ambazo hazina kichwa wala miguu, lakini kamwe hatuwezi kuacha kuwaongelea maana ni sehemu ya jamii yetu.kuna usemi unasema ' at your own risk'; kama ukiamua kujilipua kwa Single m,jilipue tu.....maisha yatakupeleka shule
Nao pia ni wajinga vile vile
Unajiona keki mwenyewe
Ms.Misinterpreter mambo?