Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
Sisi walimu huwa tunafundisha hivi there's different btn zoology and botany sasa na kwenye huu uzi kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
.
Mwanamke akikandamizwa hovyohovyo anachuja vibaya sanaaa ila mwanaume hachuji zaidi atakufa ghafla tu [emoji23][emoji23]
.
Mwanamke ukizalishwa thamani yako inashuka ila mwanaume aliyekuzalisha thamani yake inapanda sijui kama unanielewa
 
kuna usemi unasema ' at your own risk'; kama ukiamua kujilipua kwa Single m,jilipue tu.....maisha yatakupeleka shule
Pamoja na kwamba wabongo hawapendi tuwaongelee hawa watu kwa sababu zao ambazo hazina kichwa wala miguu, lakini kamwe hatuwezi kuacha kuwaongelea maana ni sehemu ya jamii yetu.

"At your own risk" mkuu nina dada zangu ambao ni masingle maza lakini wao wenyewe kwa midomo yao wamewahi kunitamkia kuwa siku nikiamua kuoa single mother basi nijipange na nijiandae kwa mengi. Imagine mtu ambaye yeye mwenyewe ni single mother na ana ndoto za kuja kuolewa siku moja anakutamkia maneno hayo!!! 🤔🤔 Hakika kauli kama hiyo ina maana nzito sana maana inatoka kwa mlengwa moja moja na wanajifahamu kabisa wao wakoje.

Mama zetu wenyewe tukiwapelekea wachumba nyumbani tukishawaambia tu kwamba mchumba huyu tayari ni mzazi, ghafla utamuona mama anaishiwa pozi na kuwaza vitu vingi sana.. Sababu yeye kama mwanamke anafahamu vizuri sana kiza kinene unachotaka kuingia.

Sasa kuna wazamburi huwa wanajifanya wao wanaakili sana wanatembea na logic kila mahali.. Ndio hawa pro-single mothers!! Ngoja nisiwaseme kwa lolote.
 
Back
Top Bottom