STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
No 6 upo sahihi kabisa
Tena huleta ugomvi mkubwa sana
hivi unaelewa kinachozungumziwa hapa? unafikiri kila mtu anaamini hayo maandiko?Kwenye dhambi hakuna tofauti kasome maandiko msilazimishe mambo
Nina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.Umepiga mimba ngapi hadi saa hizi??
Ole wake akupige atanijua mimi naniAkinipiga nitakuja kukushtakia ili umseme asirudie kunipiga!!![emoji2]
Mbona haziendani na uhalisia uliopo kwenye jamii?? wait a minute
Mwl Christopher Mwakasege. Una lingine?Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
cha muhimu wajitunze tuNdo mana mabinti hawaachi kushusha engine
Watu kutokuamini maandiko hakubadilishi ukweli kuwa yapo na ukizingatia wanaoamini ndiyo wako wengi kuliko wasioamini kwahiyo hao wasioamini mimi hawanihusu mimi naongea kwa faida ya wanaoamini ambao ndiyo wengi kuliko hao wasioamini kwahiyo polehivi unaelewa kinachozungumziwa hapa? unafikiri kila mtu anaamini hayo maandiko?
Nina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.
.
Kila mmoja ana mama yake na baharia mkubwa anaishi na mimi wengine watatu kwa bibi yao (mama yangu mimi) yaaaaani na bado nakajaza kaukoo
Mwl Christopher Mwakasege. Una lingine?
Na mtadanganywa sana tu maana ndicho mnachotaka hichocha muhimu wajitunze tu
wanaoamini ndo hao hao single mothers wanaozaa kabla ya ndoaWatu kutokuamini maandiko hakubadilishi ukweli kuwa yapo na ukizingatia wanaoamini ndiyo wako wengi kuliko wasioamini kwahiyo hao wasioamini mimi hawanihusu mimi naongea kwa faida wanaoamini ambao ndiyo wengi kuliko hao wasioamini kwahiyo pole
I don't care,kuna watoto wa kike wanasoma humu naweka wazi tu wajitunze wasizae kabla ya ndoa,sio amri wataamua waoNa mtadanganywa sana tu maana ndicho mnachotaka hicho
kwa hiyo haifai wanawake kujitunza??Na mtadanganywa sana tu maana ndicho mnachotaka hicho
Mimi ni baharia kazi yangu ni kuzalisha wajinga wajinga kuowa baharia ni marufukuVizuri sana nina imani wazazi wako popote walipo watakuwa wanajivunia sana kuwa na mtoto kama wewe!!
Kuowa single mother ni ufala full stop.Kumbe Mwakasege mimi nikajua ni Mungu