Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Umepiga mimba ngapi hadi saa hizi??
Nina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.
.
Kila mmoja ana mama yake na baharia mkubwa anaishi na mimi wengine watatu kwa bibi yao (mama yangu mimi) yaaaaani na bado nakajaza kaukoo
 
hivi unaelewa kinachozungumziwa hapa? unafikiri kila mtu anaamini hayo maandiko?
Watu kutokuamini maandiko hakubadilishi ukweli kuwa yapo na ukizingatia wanaoamini ndiyo wako wengi kuliko wasioamini kwahiyo hao wasioamini mimi hawanihusu mimi naongea kwa faida ya wanaoamini ambao ndiyo wengi kuliko hao wasioamini kwahiyo pole
 
Vizuri sana nina imani wazazi wako popote walipo watakuwa wanajivunia sana kuwa na mtoto kama wewe!!
Nina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.
.
Kila mmoja ana mama yake na baharia mkubwa anaishi na mimi wengine watatu kwa bibi yao (mama yangu mimi) yaaaaani na bado nakajaza kaukoo
 
JAMANI sio single mother tu, kuna ambao wameolewa na wapo kwenye ndoa zao ila ni hatari sana sana kuliko hao single mother, kuna jimama moja mshkaji wngu analitoa tanga anamla anavyotaka wakati huohuo ana mume wake ambae anafanya kazi mkoa mwengine, tena jimama linapiga simu mshkaj anampenda mpaka kero , kuna mwengine huyo ana mume wake yuko mkoa flan so hua anakuja kutembea hme kwao duh aiseee kuna geto apo jirani yake ndani ya ilo geto kuna washkaj watatu wote washamla huyo dada na mimba kama 4 ameshazitoa za hao washkaji tofauti, kuna day jamaa wanakula usiku mzima yaani wanafanya kitoweo haswaa, mm roho inaniuma coz ni dada mzuri sana sana na namuonelea huruma huyo mume wake coz mke wake anagawa mpaka kero, nashkuru Mungu sijawahi kufanya ufuska ata siku 1, kuna mambo mengi sana niliyashuhudia 2017 kabla ya kusepa, watu wanalalwa sana jamani
 
Watu kutokuamini maandiko hakubadilishi ukweli kuwa yapo na ukizingatia wanaoamini ndiyo wako wengi kuliko wasioamini kwahiyo hao wasioamini mimi hawanihusu mimi naongea kwa faida wanaoamini ambao ndiyo wengi kuliko hao wasioamini kwahiyo pole
wanaoamini ndo hao hao single mothers wanaozaa kabla ya ndoa
 
Vizuri sana nina imani wazazi wako popote walipo watakuwa wanajivunia sana kuwa na mtoto kama wewe!!
Mimi ni baharia kazi yangu ni kuzalisha wajinga wajinga kuowa baharia ni marufuku
 
Back
Top Bottom