Mambo ya Mungu bwana
Afu kuna watu hawajawahi toa mimba wanakesha wanasali hawapi hata mmoja[emoji2360][emoji2360]
Ahhhh ahhh jmn hahahah
Uyo binti ashauriwe azae ama aache kufanya mapenzi kwa mda
Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje??
Ndio maana kakulove[emoji7][emoji7][emoji7]Siku mkiona mabinti wadogo wanavyotoa mimba zaidi ya moja au mbili, pengine Single mothers watapata heshima yao
Mengine sijui na sitaki kujua
Swali kwako je hawa wanawake wanaoolewa wote ni mabikira?? Jibu ndiyo au hapana!!
Mbona tukisema mnatutumia huwa mnakataa mnadai utamu tunapata wote kwa hiyo tunatumianaHana jina la namna hiyo. Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi haitwi Bikra na hawezi itwa hivyo.
Bikra ni mwanamke asiyewahi kukutana kimwili na Mwanaume. Hiyo ndio maana ya msingi(connotative meaning).
Maana zilizoibuka kutoka kwenye maana ya msingi ni kuwa bikra ni kitu chochote ambacho hakijawahi kutumiwa.
Hii ni kusema mtumiaji hawezi kuwa bikra ila mtumiwaji anaweza kuwa bikra. mfano. Ardhi isiyotukiwa huitwa Virgin land. Yaani ardhi ambayo haijatumiwa. Ardhi haiewezi mtumia mwanadamu. Ila mwanadamu ndiye anaitumia ardhi
Mwanaume kamwe hawezikuwa bikra kwa kuwa yeye ndiye mtumiaji. Mwanamke ni bikra kwa sababu yeye ndiye anatumiwa.
Ndio maana mwanamke akitolewa bikra bila kuolewa tunasema Ameharibiwa. Popote pale duniani. Na adhabu zake zipo na zinafahamika.
Sasa wewe kwa upuuzi wako unaona mwanaume naye anabikra. Huo kama sio wendawazimi ni nini?
Anabishana na facts alafu anajiona mjuaji.Probably hajui au anajua ila hataki kukubali tu
Kwanza unajua maana ya bikra?
Sasa si ni bora umuoe Mwanamke ambaye ana mtoto na bado kizazi kipo vizuri anaweza kukuzalia wengine....Ndio maana kakulove[emoji7][emoji7][emoji7]
Kama hujaelewa hio figure of speech niliyotumia my dear you should go check your brain.
Ndio hapo sasaSasa si ni bora umuoe Mwanamke ambaye ana mtoto na bado kizazi kipo vizuri anaweza kukuzalia wengine....
Kuliko uoe asiye na mtoto wala kizazi cha kukuzalia mtoto kwajili ameharibu kwa abortion....!
Kwanza unajua maana ya bikra?
Kwanza unajua maana ya bikra?
Mbona tukisema mnatutumia huwa mnakataa mnadai utamu tunapata wote kwa hiyo tunatumiana
Kwanza unajua maana ya bikra?
Kwanza unajua maana ya bikra?
Mimi ni baharia kazi yangu ni kuzalisha wajinga wajinga kuowa baharia ni marufuku
Aina za Maana
Wataalam wengi mathalan Leech (1981) wanakubaliana kuwa kuna maana saba (7) kama ifuatavyo;
i. Maana ya Msingi
ii. Maana Dokezi
iii. Maana Mtindo
iv. Maana Hisia
v. Maana Tangamani
vi. Maana Mwangwi
vii. Maana Dhamira
MAANA YA MSINGI (DENOTATIVE MEANING)