Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mama zetu wenyewe ukiwapalekea mkamwana ambaye tayari ni mzazi kutoka kwa mwanaume mwingine wanaghafika, hawataki kuskia kabisa. Halafu sasa hapo hapo yeye mwenyewe ana mabinti zake ambo tayari ni masingle maza na anatamani kuona siku moja na wao wakiolewa.

Hii inakumbusha kuna mahali niliwahi kusoma feminist anamuhasa mtoto wake wa kiume asiingie kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ni feminist.

Kuna mambo huwa sisi wanaume tukiyafanya hata wanawake wenyewe wanatuonea huruma na kama anakupenda anajitahidi kukuepusha..

Nakuambia hata hapa JF hawa wote wanaojifanya ni pro-single mothers nje ya hapa hawamaanishi wanachokiandika.
 
Unaweza kuwaongelea single moms in a +ve way; bila kuwadiscredit wanawake single wasio na watoto (kwamba hawana watoto kwa sababu wanatoa mimba). Sio kwamba single moms ndo wabaya/wakosefu sana; lakini ukishaanza kumfanyia comparison na single girl; inaonekana kama kuna walakini; kwamba kuna kitu unataka kujustify. Wasifie tu kwa sababu wapo walioamua kujifunza kutokana na makosa yao na maisha yanakwenda poa sana. They are not less of women...

Kuwa single mom sio guarantee kuwa mtu hajatoa mimba kabla; na sio guarantee pia kuwa ataendelea kuzaa watoto. Wapo ambao wametoa mimba before ila wakaona sasa hivi wacha nizae tu; na wengine baada ya kuwa single mom akatoa ili asilete mtoto mwingine tena nje ya ndoa. Wengine hawajawahi kutoa kabisa; ni single moms ila wakapata shida za uzazi baadaye.

At the end of the day tuna watoto wetu wa kike; the right thing ni kuwafundisha kuwa kuzaa nje ya ndoa si jambo jema; ila ikitokea basi wazae tu na wajitahidi kurekebisha makosa yao. Na kwa watoto wetu wa kiume; kuzaa hovyo na wanawake kwa sababu tu jamii haikuhukumu kama inavyohukumu wanawake si sawa; siku akili zitakapokurudia utaishia kuwaonea huruma watoto wako. Tuadvocate kujitunza kwa watoto wetu wa jinsia zote; it's a honor kwa Mungu; kwa wazazi na hata kwako wewe mwenyewe, zaidi ya yote tunawaepusha watoto wetu na some unnecessary complications kwenye maisha yao. But again tusiwe too judgemental kwa single moms kwa sababu tu uzinzi wetu haukuacha alama za watoto. Afu what about the single fathers; wao wanafaa tu eeh?
 
Mm yoote hayo sijali, ila naogopa tu kuja kupashiwa kiporo, hio ndio point kubwa na hio ndio asilimia kubwa kutokea
 
Kumuongelea single mom afu umemuacha baby daddy sio sawa. Kama single mom hafai kwa sababu atapasha kiporo na baby daddy wake; je huyo baby daddy anafaa kuwa mume ilhali hana msimamo? Au single fathers wao ni ruksa tu kupasha kiporo? Tena unakuta single father mmoja ana more than one baby momma; je huyo ndo anafaa zaidi kuwa mume?
 
Dah ... too much madini mpaka basi ... isipokuwa namba 3 tu.

Being a parent is not biological but a choice to love your kids and put them first above all, mtoto wako sio lazima awe wa kumzaa. Wapo watu wengi sana wamepitia machungu yasioelezeka kwa wazazi wakuwazaa ... kumbuka watoto hawatupendi na kutujali coz tuliwazaa bali kwa sababu ya yale tuliyowafanyia walipoanza kuwa na akili

I am not sure kama the main reason you love your biological parents ni kwa sababu walikuzaa? Hey, pengine ni kwa sababu ya yote waliyopitia kukufikisha hapo ulipo. By the way, mpaka una 3 years you knew nothing about them ...

Otherwise, bravo!!!
 
Inafaa ila mnadhani chanzo cha wao kutokujitunza ni kina nani??

Kuna maana gani kuwaambia wanawake waache uhuni ila wanaume waendelee kuufanya sasa wataendelea kuufanya na kina nani??
kwa hiyo haifai wanawake kujitunza??
 
Lizarazu usome na hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…