Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni wapi palipoandikwa kuwa mwanaume anatumia mwanamke anatumiwa tuanzie hapo kwanza unajua haya mambo msilazimishe yawe katika mitazamo yenu binafsi maana kila mtu ana mtazamo wake twende kiuhalisia na ikiwezekana kimaandiko zaidi ukikwepa hapa basi hayo unayoyaongea yanabaki kuwa mtazamo wako wewe binafsi ambao hauna effect yoyote kwenye hii dunia
 
Sasa kama ndoa ni makubaliano, hii rubbish ya kuwatusi single mothers kama si watu ina logic gani?

Mtu akiamua kumuoa single mother wa tabia yoyote kwa makubaliano yao usiyoyajua, wewe unapungukiwa nini?

Unataka kuolewa wewe?
Upeo unaeleza kil kitu. Pole sana
 
Hao hao mama zenu mbona mnawapelekea watoto.
Na wanataka mkioa muwachukue watoto muishi nao.
Hawawaonei huruma wanawake wanaoenda kuwalea.

Lizarazu wewe oa mtu sahihi,,unayempenda na anayefaa bila kujali Ni single mama au sio.
 
Ni wazi haujui hata unaloongea akili yenye bikira na akili isiyo na bikira ndo zikoje unaweza kuzitofautisha?? Maana naona umeng'ang'ania huu msemo hebu leo ufafanue maana yake??

Halafu kwani lengo la ndoa ni nini si kidumu au sasa hayo ya fisi sijui vitu vilivyooza yanatoka wapi kwahiyo lengo la ndoa siyo kudumu tena bali ni kuonekana unakula vitu visafi si ndiyo?? Na mwanaume aliyefanya ngono kabla ya kuoa ndiyo msafi si eti??
 
Hakika,hujawahi kosea[emoji122].
Lizarazu Soma hapa...
Nadhani hili ndilo la muhimu badala ya kuendelea kutunyoshea vidole.
 
Mimi naomba nijue haya yameandikwa wapi au umeyatoa wapi hivi wewe mbona unaulizwa maswali marahisi tu ila unazunguka unaacha kujibu kwa kifupi hebu niambie haya yameandikwa wapi na umeyatoa wapi sitaki maelezo mengi wewe nijibu tu nilichokuuliza
 
Unajiona una akili sana??
 
sasa hapo ni upande wa wanawake,kila siku ni wanaume tu ambao hawataki single mothers, wanawake hawapigi kelele kwamba haifai kuolewa na single fathers,ngoja tusubiri maoni ya wanawake
 
Kumuoa single mother yataka moyo mkuu sana.
1. Jiandae kisaikolojia
2. Usisikie ya watu.
Maana unapotaka kuoa tu , ukisema mchumba wangu ana mtoto/watoto tu; kuna baadhi ya ndugu, jamaa na rafiki utakosa msaada wao kabisa.

Kuna baadhi hata wazazi wanaweza kukukatisha tamaa kabisa usioe. Hii si kwamba hatuwapendi single mother, bali ni kutokana na tabia ya baadhi yao ya kupasha viporo na pia kuwa wametumika sana.

Pia ile kauli tu ya kuwa huyu mtoto alizaa na fulani au mwanzo alikuwa mke wa fulani, huwa inauma mno.

Nitaoa single mother ila vigezo na masharti vitazingatiwa zaidi ila nikimpata ambaye hajazalishwa itapendeza zaidi.
 
Bikira ni mtu yeyote ambaye hajawahi kufanya mapenzi fullstop nenda google katafute na pia hayo uliyoyaeleza wewe unaweza ukaniambia yako wapi nami nikayatafute
 
Bikira ni mtu yeyote ambaye hajawahi kufanya mapenzi fullstop nenda google katafute na pia hayo uliyoyaeleza wewe unaweza ukaniambia yako wapi nami nikayatafute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oohh masikini pole kwahiyo wewe unaamini bikira ni ile ngozi tu inayoziba njia ya uzazi ya mwanamke?? Basi ndiyo maana unaongea utumbo kwahiyo ile ngozi ikitolewa kwa njia nyingine yoyote tofauti na kufanya mapenzi huyo mwanamke anakuwa siyo bikira tena eti??
 

Pole sana kwa kuwa na mawazo hayo hapo kwenye red fonts.

Kama una IG acc nenda kwenye hii mada ukajione michango ya single mothers kisha urudi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…