Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unataka kuniambia Ushirikina ni sawa na kusengenya au ni sawa na zinaa au ni sawa na kuiba ?
Umeielewa comment yangu?? Nimemaanisha kwenye dhambi hakuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke dhambi ni dhambi tu haijalishi kaifanya mwanaume au mwanamke yaani tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi!!
 
Je hii sentensi iko applicable kwenye maisha halisi ya hapa duniani au inabaki kuwa msemo tu??
Naongezea

Funguo malaya husifiwa na hudhaminiwa kwa kufungua makufuli mengi lakn makufuli yanayoruhusu funguo malaya hudhalauliwa na kutupwa mbali
 
Wapo
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.

Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".

Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
 
Jisemee nafsi yako wewe
 
Hao hao mama zenu mbona mnawapelekea watoto.
Na wanataka mkioa muwachukue watoto muishi nao.
Hawawaonei huruma wanawake wanaoenda kuwalea.

Lizarazu wewe oa mtu sahihi,,unayempenda na anayefaa bila kujali Ni single mama au sio.

Ndio maana nasema nyie wanawake wenyewe ni wanafiki. Kuna mambo huwa mnapenda kuona yakitokea kwa watu wenu wa pembeni tu lakini sio kwenye familia zenu, sababu mnajua uzito wa athari zake ukoje kwa mlengwa.

Kwenye suala la kuoa single mother kwangu ni option ya mbali sana.
 
Pole sana kwa kuwa na mawazo hayo hapo kwenye red fonts.

Kama una IG acc nenda kwenye hii mada ukajione michango ya single mothers kisha urudi hapa. View attachment 1203489
Mdogo wangu acha kuwaza mawazo hasi wakati wote.
Akili yako ukishaijaza woga Basi hutakaa uone mazuri ya single mama.
Wote tuko sawa jamani mtupumzishe[emoji23][emoji23]
 
Mhh hatari sana.,Upande wa Single Fathers je!?
Unawazungumziaje vijana wanaochumbia ilhali wana watoto nje ya ndoa na mwanamke/wanawake wengine?
Mwenye ndoa ni mwanamume, ndiye anayeoa. Yeye ni mtafutaji na mlishaji tu, ila mama ndiye mwenye connection na mtoto, ndio maana hata akiwa na wake watano kila mmoja akawa na watoto, ubaguzi utafanywa na wanawake, sio mwanamume.

Mwanamke akiolewa huku ana mtoto atamtunza, mwanamume akioa huku ana mtoto mama atajaribu kumtunza mpaka pale tu atakapopata mtoto kwa mume yule. Hapo mtoto rasmiatakuwa wa kambo na litakuwa tangazo la vita ndani ya familia.

Hivyo huwezi kumlinganisha mwanamke na mwanamume kwenye eneo hilo, ni sawa na wajinga wanavyosema eti mume akitembea nje ya ndoa yeye anafungulia mbwa, huu ni ujinga wa kutoelewa tofauti ya kiasili kati ya mwanamke na mwanamume.
 
We nawe. Kwahiyo mtu akishahusiana akiingia ajiue au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…