Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Waebrania 13 : 4 "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu" wewe hilo andiko umelielewaje hebu tuanzie hapo kwanza??
Halafu unaposema mwanamke akitubu bikira yake hairudi kwani ni wapi Mungu alisema ukitubu dhambi kama katika hiyo dhambi kuna kitu ulipoteza basi ni lazima kirudi kwani je mtu akitubu dhambi ya kuua akasamehewa huyo aliyeuliwa atarudi?? Kinachomatter ni mtu kusamehewa tu au na hicho kilichopotea kurudi?? Naomba unijibu hili swali tafadhali

Ungetamani iwe hivyo, lakini ukweli hauko hivyo. Sipendi niigeuze hii mada, ila suala la uzinzi ni la kiimani zaidi kuliko haja ya huu uzi. Mwanamume haruhusiwi kuzini, ni dhambi. Dhambi inaweza kupata msahama akitubu kwa moyo na kuamua kuiacha. Mwanamke ana kitu cha ziada, akizini atatolewa bikra, akitubu kwa dhati atasamehewa, aila bikra hairudi.
Pia kuna suala zima la kuyaamsha mapenzo, mwanamke akishakuyaamsha mapenzi, ni vigumu kuyazuia. Atakachofanya ni kujaribu kuwa na wapenzi wachache kwa wakati mmoja akidhani hatahesabika kahaba. Leo atakuwa na huyu, wakiachana ana huyu, wakiachana ana yule.
Hivyo mwanamke ukijifanya wa kisasa unijimaliza mwenyewe.
Kwa habari ya utamjuaje mwanamume ambaye hajafanya mapenzi ni injili ya wanawake, haijatoka kwa Mungu. Hakuna concept hiyo isipokuwa naona mambo ya haki sawa yakiingizwa kwenye imani.