Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Waebrania 13 : 4 "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu" wewe hilo andiko umelielewaje hebu tuanzie hapo kwanza??

Halafu unaposema mwanamke akitubu bikira yake hairudi kwani ni wapi Mungu alisema ukitubu dhambi kama katika hiyo dhambi kuna kitu ulipoteza basi ni lazima kirudi kwani je mtu akitubu dhambi ya kuua akasamehewa huyo aliyeuliwa atarudi?? Kinachomatter ni mtu kusamehewa tu au na hicho kilichopotea kurudi?? Naomba unijibu hili swali tafadhali
Ungetamani iwe hivyo, lakini ukweli hauko hivyo. Sipendi niigeuze hii mada, ila suala la uzinzi ni la kiimani zaidi kuliko haja ya huu uzi. Mwanamume haruhusiwi kuzini, ni dhambi. Dhambi inaweza kupata msahama akitubu kwa moyo na kuamua kuiacha. Mwanamke ana kitu cha ziada, akizini atatolewa bikra, akitubu kwa dhati atasamehewa, aila bikra hairudi.

Pia kuna suala zima la kuyaamsha mapenzo, mwanamke akishakuyaamsha mapenzi, ni vigumu kuyazuia. Atakachofanya ni kujaribu kuwa na wapenzi wachache kwa wakati mmoja akidhani hatahesabika kahaba. Leo atakuwa na huyu, wakiachana ana huyu, wakiachana ana yule.

Hivyo mwanamke ukijifanya wa kisasa unijimaliza mwenyewe.

Kwa habari ya utamjuaje mwanamume ambaye hajafanya mapenzi ni injili ya wanawake, haijatoka kwa Mungu. Hakuna concept hiyo isipokuwa naona mambo ya haki sawa yakiingizwa kwenye imani.
 
Jombaa mbona unalazimisha watu wale maparage wakati umewakuta wanakula pilau?

Nenda kafungue uzi wenye hiyo title unayoitaka kisha tutakuja kuchangia.
Mimi nimejenga hoja tu na kama unaipinga jibu kwa hoja mkuu.
 
Waebrania 13 : 4 "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu" wewe hilo andiko umelielewaje hebu tuanzie hapo kwanza??

Halafu unaposema mwanamke akitubu bikira yake hairudi kwani ni wapi Mungu alisema ukitubu dhambi kama katika hiyo dhambi kuna kitu ulipoteza basi ni lazima kirudi kwani je mtu akitubu dhambi ya kuua akasamehewa huyo aliyeuliwa atarudi?? Kinachomatter ni mtu kusamehewa tu au na hicho kilichopotea kurudi?? Naomba unijibu hili swali tafadhali
Marianah uko poa? Naona tumeamkia kujibu hoja za mijadala inayowanyanayasa karibu tuendeleze mpambano.....
 
Hizo mimba hawajipi wenyewe
Wote hawatakuwa na heshima kama binti bikira. Kwani hakuna masingle mother waliochoropoa mimba? Think loud!! Kwa akili yako unataka kusema ni heriya single mother, unashangaza aisee. Basi ngoja waendelee kuzalishwa ili mpate wa kuoa.

Ila elewa tu hawa mabinti ambao leo unawaona hawafai kwa jinsi wanavyotoa mimba ndio ma single mother wa kesho.
 
Alichokiandika Heaven Sent ndicho tunachokimaanisha wanawake wengi hapa jukwaani ila sijui mnajifanya hamuelewi au sijui kuna watu maalum ndiyo mnataka wayaongelee haya mambo wengine hawatakiwi kuyaongelea au sijui shida yenu ni nini??
Heaven Sent comment yake iko so impartial na objective.

Yaani imelenga kila mahali bila kufunika funika madosari ya jinsia yoyote, tofauti na nyie wengine ambao tangu mnaanza kuchangia mada hii mna one-dimensional perspective.
 
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sisi wengine tunaishi na familia zetu ndio maana tunaujua ukweli. Yaani hatubahatishi.

Ila kuniambia kwamba nina yumba kwenye Imani,lazima nikutafute aisee,hili ni deni,lazima unilipe.
 
Jokajeusi, Sidhani Kama mada Ni bikra.
Mada Ni single mama.
Kama hutaki Marianah aulize maswali yake unayoyaita ya kipumbavu Basi hata wewe usiongelee bikra.
 
Ah kwa leo naomba tusije kuhamia kwenye dini tafadhali sitaki kabisa kuingia huko huu uzi utafika comments 1000 sasa hivi kama ule wa siku ile kwa mabishano ya dini tu halafu tutakuwa tumetoka nje ya mada
Hiyo ni maana ya ujumla na kule nilitumia msingi wa lugha vile vile,sema maana ya Marianah ilikuwa ya uongo.
 
Ahaaaa haaaa haaaaa ... we jamaa ni mwehu. Sija disregard mawazo ya masingle moms bali nafikiri kuchukua mawazo yao pekee kama ground basis mtazamo wako lazima uwe bias coz wamekuibia.

Rudi kwenye original thread ... kwa asilimia kubwa ushambuzi wa mkuu una ukweli, ingawa mchungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Marianah hivi unakubaliana na mtoa mada kwamba lizarazu Ni mwehu!?
 
Hivyo ndivyo watakavyochukuliwa na kina nani?? Hilo ndiyo swali la msingi!!
Marianah

Kwanza nimegundua kuwa huna elimu ya lugha ndio maana unayumba.

Unaposema Wanaume nao ni bikra unakuwa na tatizo moja la Msingi. Nalo ni upungufu wa elimu.

Kama ungesoma Semantiki katika lugha ungeelewa nini kinazungumziwa lakini kutokana na ubishi wako unalia lia humu.

Nimekupa maana ya Bikra kulingana na Wikipidia. Nimetoa Maana ya bikra kulingana na Oxord living dictionary.

Kama ungesoma lugha kwa ngazi ya kidato cha sita tuu usingeshindwa kuelewa mambo madogo kama Hayo

Mwisho nasisitiza kama wewe na wenzako na mwanamke yoyote yule ambaye alitolewa bikra kabla ya ndoa huyo ni malaya.

Hivyo ndivyo utakavyochukuliwa na ndivyo ulivyo hata kama hupendi kusikia hivyo.
 
Back
Top Bottom