Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo uliyoyaongea yanabadilisha ukweli wowote??
PM yangu nimeiacha wazi kwa ajili ya watu wanaojielewa siyo kwa ajili ya kila mtu halafu unajua wewe unapenda sana kuropoka kila kitu yaani unajijua kabisa unapenda unaropoka halafu bado hauchagui vitu vya kuropoka!!
Sawa ila kwahiyo kumbe unakubali kuwa mwanaume na mwanamke wote wanaweza kuwa malaya na wazinzi si ndiyo?? Case closed!!
Asante wanaume wengi wanaumia kuona single mothers wanaolewa na wanaona kilichobaki ni kuwashambulia wanaume wenzao waliooa hao single mothers na kuwaita sijui mashoga sijui wala makombo wanadhani kila mwanaume ana akili za kushikiwa kama waoKiumeni ukishobokea sana ndoa za watu kwa nini mwanamme huyu kamuoa mwanamke yule unaweza kuonekana una wivu ulitaka kuolewa wewe mwanamme.
Hawa wanaume suruali hawajui katiba ya uanaume inasemaje.
Sasa kwanini na wewe usianzishe mada ya mabikira?? Same thing!!Anahaki lakini nimemwambia aanzishe mada inayohusu ya wanaume wahuni ataona tukija kuchambua bila hofu. Mada hii ni wanawake.
Kula TanoKupasha kiporo hakuhusiani na u single mother.
msingi wa kupasha kiporo unatokana na tabia ya infidelity.
but still kuna mkanganyiko hapa, sijawahi kusikia mwanamke anakataa kuolewa na single fatherLet's talk as mature people and look into the bigger picture. Sidhani kama kuitwa single mom au kukataliwa is such a big deal compared na effects anazopata mtoto. If you are a responsible man who was raised well and knows the value of a family; being a single dad isn't something you would wish even if no one is going to point a finger at you. Kwa sababu katika yote hata mwisho wa siku victim mkuu hapa ni mtoto. Baba unaweza kuoa; mama anaweza kuolewa lakini kwa mtoto kuna vitu tu vitamfuata kwa sababu tu ni mtoto wa nje.
Afu huku kwetu co-parenting sio rahisi sana; lazima utaishia kustick na watoto wa ndani; wa nje unabaki kuwa "seasonal parent". Ukioa/kuolewa mawasiliano na mzazi mwenzio inabidi yapungue haswa kama sio kukoma; kama unataka kuishi kwa amani na kuaminika kwa mwenzio. So mtoto ndo anayeumia hapa; lazima atampoteza mzazi mmoja; hatuna ile malezi 50/50 kwa wazazi wote.
Imagine wewe ni mtoto unaishi na mama ameolewa na ana watoto wa ndoa; there is a certain way tu utafeel like you don't belong there completely. Siku ukienda kwa Baba unamkuta na watoto wake wa ndoa; na huko kuna hali fulani tu ya kujiona kama unakosa umiliki 100%; kwa wazazi wote upo nje ndani. Wakija ndugu wa mzazi wa kambo; watakukumbusha tu kuwa wewe sio damu yao. Imagine watoto wa nje wanavyosuffer ikija kwenye issue za mirathi; hata kama ni haki yao bado wanaonekana kama ndo tatizo kwa familia.
Kama haitoshi watoto wengine wanapelekwa kulelewa kwa bibi sijui mama mkubwa etc; ili mzazi akaishi kwa amani kwenye ndoa yake; unaweza kuhisi ni nini kinajengeka kwenye akili ya huyu mtoto; yeye ni mbaya kwenye ndoa za wazazi wake ndo maana akaachwa kwa mlezi mwingine au ni vipi?
Narudia tena ukiwa mwanaume responsible na umelelewa vyema na wazazi wako; obviously utawish kufanya the same and more kwa mtoto wako. (Most of times; you can't give what you don't have). Imagine being a seasonal father kwa mwanao; kwa mwaka mnaonana mara moja au mbili au msionane kabisa; he/she is raised by someone else, another man matters the most to your child than you do; sijui kama haitokuumiza. So even if no woman is going to reject you; at least be responsible for the welfare of your children. Na hata kama hutokuwa rejected; how can you guarantee the welfare of your kid(s) kwa huyo mke utakayemuoa? Ni watoto wangapi wanasuffer kwenye mikono ya mama wa kambo/abusive step dads na wanashindwa hata kusema? Wapende wanao; waepushe na unnecessary complications
[emoji23][emoji23]nitakuelezea vizuri kule shostiHeee[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah embu endelea kueleza Tena vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hilo kweli JokajeusiAhaa haaaa haaaa ... Joka acha uoga!
Hayo uliyoyaongea yanabadilisha ukweli wowote??
PM yangu nimeiacha wazi kwa ajili ya watu wanaojielewa siyo kwa ajili ya kila mtu halafu unajua wewe unapenda sana kuropoka kila kitu yaani unajijua kabisa unapenda unaropoka halafu bado hauchagui vitu vya kuropoka!!
It depends, some mistakes define the future, whether you like it or not. Tukiona mawingu tunasema mvua itanyesha. Huwezi kwenda kati ya madada poa kutafuta mchumba wa kuoa, why?marriage is an institution,our past mistakes doesn't necessarily mean that they can define our whole future.
Oohh hauwajui wanawake weweMkuu leo umekamatika hapa. Sijui utatukia tawi gani. Maana ni kama mgonjwa wa dege dege.
Sasa kwa akili yako Kesi za ubakaji hapa nchini ni ngapi. Haya tufanywe umeniambia umebakwa. Hivi kwa akili yako mtu aliyebakwa si kunakuwa na kesi iwe ni mahakamani au polisi?
Tufanywe ulibakwa na mtu wa karibu unayekaa naye akakutishia usiseme. Hivi unadhani utaongea mambo hayo kirahisi rahisi ikiwa ni uongo na sisi wanaume tusijue.
kauli zina maamuzi gani katika maisha binafsi ya mtu mwingine??? wanawake wakatae kuolewa na single fathers,maana ndoa ni hiari,Wakisema si ndiyo kama hivyo mnapinga mnakuja na kauli zenu zile eti ooh mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume
Nadhani hata mimi nilitakiwa niiseme hiyo sentensi yako ya kwanza kabisaKama nafanya hayo ni kweli nitakuwa malaya.
Sasa nashangaa wewe unafanya uzinzi alafu ukiitwa Malaya unapasuka kama Pareto.
Ukitaka usiitwe mlevi acha pombe.
Ukitaka usiitwe mwizi acha wizi.
Ukitaka usiitwe malaya acha uzinzi.
Sasa mtu ametoa bikra kwa umalaya wake alafu akiambiwa ukweli anaviimba. Huo ni upuuzi.
Hayo ndio maisha Marianah. Ukitaka upewe heshima linda vya heshima. Ukitaka upewe majina ya matusi basi haribu vitu vya heshima.
Pambafff kwani huwa wanazini na miti ama na wanaume? Una hakika gani kwamba baba yako alimuoa mama yako akiwa bikra? Muwe na staha basi wakati mwingine maana kuna leo na kesho binti yako anadungwa mimba na utageuka mshenga ili aolewe kulinda heshima ya familia!
Pia unaposema ni instituition haiondoi principles zake. Hakuna instituion duniani isiyokuwa na kanuni na miiko.marriage is an institution,our past mistakes doesn't necessarily mean that they can define our whole future.
Daah,hao achana nao.Mmhh utaambiwa wewe siyo mwanaume kamili shauri yako
Si ndiyo hapo sasa anataka nimkubalie yeye kuwa mimi ni malaya lakini yeye siyo malayaUna uhakika anafanya umalaya!?
Kumbe unajua wazi hiyo sifa ya umalaya si yako bali amekubambikia tu...
Sasa mbona wewe unalazimisha akubali kuwa Ni Malaya wakati sio?
Ohoo wale waleJamaa ajaongelee kutulia .. single mother yeye maisha yake yote anampigania mwanae iliamsaidie kivyovyote .. nanikweli hata ukimtongoza single mother atakwambia ni na mtoto utaweza kumtunzaa ... hilo ndojibu la single mother wote dunia...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ningefunga mwezi mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwanini na wewe usianzishe mada ya mabikira?? Same thing!!