Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Oohh hauwajui wanawake wewe

Wewe ndio wasema.
Wanawake hawanisumbui kwa lolote. Nimefundishwa na nimehitimu kuwamudu.

Nawaelewa fika. Tafuta post zangu humu. Sio unapuyanga puyanga hapa.
 
Kwahiyo single father kuoa mwanamke asiye single mother ndiyo hakuleti matatizo??

Matatizo yapo ila yanatofautiana.

Na wewe mwanamke kama unajielewa kwa nini uolewe na Single father ilhali wapo wasio na watoto?
 
Jokajeusi, Sasa mjinga ni wewe unayedhani kuwa nimeandika mambo ya PM hapa ili nikutishie hebu waza hata kwa akili ya kawaida tu mimi nikishakutishia wewe napata faida gani labda kwa mfano?? Hivi wanaume hizo akili zenu mnazojitutumua nazo humu kila siku huwa mnazitumia wapi kwani??
 
Nadhani hata mimi nilitakiwa niiseme hiyo sentensi yako ya kwanza kabisa


Hilo uliwahi lisema kwenye mada za nyuma tulipokutana kama hivi. Hivyo hukupaswa urudie.

Sema nini. Sikushangai kwa sababu wanawake ni watu wa kupaniki wakidhani wanadharauliwa hata kama hawadharauliwi. Yote ni kutokujiamini tuu.
 
Vijana wakisoma kwa jicho la pili watajifunza kujizuia na mambo ya kipuuzi. Kuogopa kuyaonyesha makosa ama kuoneana aibu ni vibaya zaidi kuliko kusema na kuumiza baadhi ya watu. Kama taifa tumefika mahali tukaruhusu mambo yasiyofaa kwa kigezo cha kuogopa kuumiza watu. Mabinti wajitahidi kujizuia, wazazi pia tuwalee watoto kwa maadili mema. Mimi pia nina dada zangu, watoto na ndugu wengine wa kike, they are not saints. Sindano inauma lakini inaponya.
 
Oohh nitaanzisha halafu tutashuhudia jinsi wanaume wengi walivyo wapumbavu humu
 
Mfano ingetokea mtu kaanzisha uzi wa kusema kuwa wanaume waache kuzalisha wanawake hovyo bila ndoa ungesema kuwa nao ni ukweli??
Na ndio hiki kinawafanya hamuolewi au mnaachwa, COMPARISONS. Huu usawa unaoutafuta na ujuaji mwingi ndio unawafanya muwe singo mazas. Mwanaume na mwanamke wanaathirika kwa namna tofauti linapotokea suala la mahusiano kuvunjika. Sasa badala ya wewe kuangalia yanayokuathiri kama mwanamke uyaepuke, unakimbilia kujilinganisha...ok, ingeanzishwa hiyo mada unayosema ningesema NI UKWELI. Well then, who cares about singo fazas?

My dear Marianah maanguko yenu mengi ni zao la hizi emotions na malezi ya kiisidingo mnayopata siku hizi kutoka kwa Modernized Parents. Kumchagua mwanaume wa kuanza naye mahusiano si suala la show off. Sasa akili zenu mmezijaza masihara na mizaha ya SIX PACKS, SIX INCHES, SIX FEET, SIX CARS and the likes. Kwa namna mnavyojinadi mitandaoni, hao mnawapata, lakini hawa si WANAUME, hawa ni 'mabaharia'...mnaanza nao mahusiano yenu hayo ya kijinga,
Anaanza kwa kukuita SEXY,
Kesho unampa SEX
Keshokutwa anakuita EX, sasa kama katikati hapo palipatikana katoto ka huyo braza men, ndio mnaanza sasa msako wa kumtafuta MWANAUME (in the real meaning of mwanaume) wa kulea katoto ulikokapata kwenye msako wa SIX PACKS. Usijidanganye na maoni ya mitandaoni, hata hawa wanaowa-sweet talk humu majukwaani si ajabu tabia zao na za hao waliowazalisha na kuwaacha zinafanana tu...hawana umakini.

Your second life mistake ni kuteam up na EMOTIONAL kaMWANAUME na kudhani you are safe. Mwanaume emotional na mwanamke hawana tofauti when it comes to decision making. Ataongozwa na emotions zake kujiaminisha kuwa its OK una katoto umetoka nako huko kwenye instagram life lakini mbeleni huko si ajabu ukawa singo maza square.

Na usidhani singo maza wanazaliwa nje ya ndoa tu. Wengine mliolewa kabisa, ila kwa kuwa motive behind ndoa zenu ilikuwa ni obsession ya sherehe ya harusi na shela, ndoa huishia miles chache mbele na taifa linapata ka singo maza kapya.


Mi navyofahamu, BRAZAMENI na mwanaume ni watu wawili tofauti. Wanaume huwa hatuzai na kutoroka, tunazaa na tunalea na ndio maana hatupendi kulea watoto wa wenzetu.
 
Asante wanaume wengi wanaumia kuona single mothers wanaolewa na wanaona kilichobaki ni kuwashambulia wanaume wenzao waliooa hao single mothers na kuwaita sijui mashoga sijui wala makombo wanadhani kila mwanaume ana akili za kushikiwa kama wao
Yani bora hata mwanamke ashobokee kwa nini mwanamme huyu kaoa mwanamke yule.

Nitajua labda ana wivu alitaka kuolewa yeye.

Mwanamme anayemshobokea mwanamme mwenzake kwa nini kaoa mwanamke yule, ana tatizo gani huyu?
 
Haya kama ulishaanzisha hizo nyuzi basi wamekusikia
 
Oohh nitaanzisha halafu tutashuhudia jinsi wanaume wengi walivyo wapumbavu humu

Anzisha Mkuu. Mbona tutachangia.

Kuna mdau humu aliongea mavi yake kuwa ati ametoa bikra nne. Nikampa inayompasa. Wala sikumkopesha.

Sijazoea maneno laini. Nimezoea maneno magumu. Haya kwa wakina dada kama nyie mnaishia kupiga kelele na kuniona nawanyanyasa.

Hivi mtu kumuambia ukweli wake ni kumnyanyasa. Mimi nitatembea na yeyote yule bila kumjali.

Samahani ikiwa nitakuwa ninakuboa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…