Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hilo kweli Jokajeusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hilo kweli Jokajeusi
Oohh hauwajui wanawake wewe
Kwahiyo single father kuoa mwanamke asiye single mother ndiyo hakuleti matatizo??
Lizarazu kachochoraKwa huu Moto hawezi kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani acha tu kidogo niangushe simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu ngoja Kwanza...alikuja PM!??
Nadhani hata mimi nilitakiwa niiseme hiyo sentensi yako ya kwanza kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lizarazu kachochora
but still kuna mkanganyiko hapa, sijawahi kusikia mwanamke anakataa kuolewa na single father
Vijana wakisoma kwa jicho la pili watajifunza kujizuia na mambo ya kipuuzi. Kuogopa kuyaonyesha makosa ama kuoneana aibu ni vibaya zaidi kuliko kusema na kuumiza baadhi ya watu. Kama taifa tumefika mahali tukaruhusu mambo yasiyofaa kwa kigezo cha kuogopa kuumiza watu. Mabinti wajitahidi kujizuia, wazazi pia tuwalee watoto kwa maadili mema. Mimi pia nina dada zangu, watoto na ndugu wengine wa kike, they are not saints. Sindano inauma lakini inaponya.hello guys,this topic I have found it to be so interesting and at the same time very unfortunate.we here in this group have got sisters, cousins,friends who have fallen victim to the predicament of single motherdnes. when the victims passby and read this comments what impact does it bring? It's the nature n nurture of everything human being to be accorded dignity.#singlemothers are people too and the deserve a shoulder to lean on
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji87]Yaani acha tu kidogo niangushe simu
ThanksBila kuegemea upande wowote naunga mkono mada point zote kasoro no 5 &7
Sasa kusema ukweli kuwa mwanamke asiye na bikra ni malaya ni kuropoka. Wewe kweli umechanganyikiwa.
Mlango ukiwa wazi kwa nini watu wasiingie?
Ila huna ulilobadili.
Mada ipo sahihi kwa asilimia 98. Anzisha yako utoe hoja zenye mashiko tukuunge mkono.
Na ndio hiki kinawafanya hamuolewi au mnaachwa, COMPARISONS. Huu usawa unaoutafuta na ujuaji mwingi ndio unawafanya muwe singo mazas. Mwanaume na mwanamke wanaathirika kwa namna tofauti linapotokea suala la mahusiano kuvunjika. Sasa badala ya wewe kuangalia yanayokuathiri kama mwanamke uyaepuke, unakimbilia kujilinganisha...ok, ingeanzishwa hiyo mada unayosema ningesema NI UKWELI. Well then, who cares about singo fazas?Mfano ingetokea mtu kaanzisha uzi wa kusema kuwa wanaume waache kuzalisha wanawake hovyo bila ndoa ungesema kuwa nao ni ukweli??
Afadhali umeingia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok, anisamehe basi. Nilidhani kaniita mjingaComment yake ipo kawaida ila wewe ndio umeipokea tofauti chief.
Wapo wanaokataakauli zina maamuzi gani katika maisha binafsi ya mtu mwingine??? wanawake wakatae kuolewa na single fathers,maana ndoa ni hiari,
Yani bora hata mwanamke ashobokee kwa nini mwanamme huyu kaoa mwanamke yule.Asante wanaume wengi wanaumia kuona single mothers wanaolewa na wanaona kilichobaki ni kuwashambulia wanaume wenzao waliooa hao single mothers na kuwaita sijui mashoga sijui wala makombo wanadhani kila mwanaume ana akili za kushikiwa kama wao
Mbona hizo nimeshaanzishaga nyingi humu. Labda wewe Mgeni.
Kipindi hicho alikuwepo Dada mmoja anaitwa Rebecca83 huyo naye alikuwa kama wewe. Naye nilimfuata PM kama wewe. Atakuja hapa kueleza.
So uzidhani nimeanza haya mambo jana. Wengi wananitambua kwa msimamo huo. Wewe ndio unaona mambo haya ni mapya.
Wewe unaleta upuuzi wako hapa.
Oohh nitaanzisha halafu tutashuhudia jinsi wanaume wengi walivyo wapumbavu humu