Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
but still kuna mkanganyiko hapa, sijawahi kusikia mwanamke anakataa kuolewa na single father
Wewe ndio wasema.
Wanawake hawanisumbui kwa lolote. Nimefundishwa na nimehitimu kuwamudu.
Nawaelewa fika. Tafuta post zangu humu. Sio unapuyanga puyanga hapa.
Kwa sababu ya mitazamo ya kijamiiMatatizo yapo ila yanatofautiana.
Na wewe mwanamke kama unajielewa kwa nini uolewe na Single father ilhali wapo wasio na watoto?
Ndio maana ni muhimu tuwaambie ukweli ili wengine ambao hawajaingia bado kwenye mtego huo waogope.Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Dharau zinajulikana na hazihitaji kufafanuliwaHilo uliwahi lisema kwenye mada za nyuma tulipokutana kama hivi. Hivyo hukupaswa urudie.
Sema nini. Sikushangai kwa sababu wanawake ni watu wa kupaniki wakidhani wanadharauliwa hata kama hawadharauliwi. Yote ni kutokujiamini tuu.
Haya kama ulishaanzisha hizo nyuzi basi wamekusikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache tu.ngoja nikampe maji anywe maana koo limemkauka.
Unadhani mchezo unacheza mechi kila mtu anakukaba!
Nitafungua ndioFungua Mada bikra wetu
Dharau zinajulikana na hazihitaji kufafanuliwa
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji87]
Enheee vipi simu haikupasuka kwa mshtuko???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafungua ndio
Kwanza hajajibu mapigo ya kuitwa mwehu[emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hatari Sana[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana ila ilivibrate kiasi
Una uhakika Hana?Basi nilivyokuita bikra umevimba kichwa. Kwendraaaaa
Anazitafuta za uso.Oyoo kaja
Una uhakika Hana?
Yani bora hata mwanamke ashobokee kwa nini mwanamme huyu kaoa mwanamke yule.
Nitajua labda ana wivu alitaka kuolewa yeye.
Mwanamme anayemshobokea mwanamme mwenzake kwa nini kaoa mwanamke yule, ana tatizo gani huyu?
Huu ubishi tushauongelea. Nakusihi dada yangu usijilinganishe na mwanamume. Wote mtafanya mapenzi, utazaa, mtatubu, mtasamehewa, shida utabaki nayo wewe. Kiroho umesamehewa, kimwili hauaminiki tena. Mwanamume uliyezaa naye ataoa binti mwingine wa chaguo lake na kukuacha na majuto. Fungua macho kwenye maisha halisi, acha kiburi. UtaumiaKwahiyo hata maandiko yanamruhusu mwanaume kuzaa nje ya ndoa si ndiyo??