Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wapo wanaokataliwa; though sio to the extent kama wanavyokataliwa single mom. Sio kila mwanamke can settle for a blended family; wengine ukiwa tu na mtoto bye bye. Ulichoniquote pale juu ndicho nilichotaka ukione; the bigger picture
but still kuna mkanganyiko hapa, sijawahi kusikia mwanamke anakataa kuolewa na single father
 
Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Ndio maana ni muhimu tuwaambie ukweli ili wengine ambao hawajaingia bado kwenye mtego huo waogope.
 
Hilo uliwahi lisema kwenye mada za nyuma tulipokutana kama hivi. Hivyo hukupaswa urudie.

Sema nini. Sikushangai kwa sababu wanawake ni watu wa kupaniki wakidhani wanadharauliwa hata kama hawadharauliwi. Yote ni kutokujiamini tuu.
Dharau zinajulikana na hazihitaji kufafanuliwa
 
Haya kama ulishaanzisha hizo nyuzi basi wamekusikia

Hawasikii mpaka uongee kila siku. Nami nitaongea kila nikipata nafasi. Sitajali nani atageuka adui yangu. kama wewe unavyonichukulia. Mimi najali ukweli tuu.
 
Hakuna kingine zaidi ya kutaka kuolewa yeye tu na ndiyo akina Lizarazu na Jokajeusi hawa
Yani bora hata mwanamke ashobokee kwa nini mwanamme huyu kaoa mwanamke yule.

Nitajua labda ana wivu alitaka kuolewa yeye.

Mwanamme anayemshobokea mwanamme mwenzake kwa nini kaoa mwanamke yule, ana tatizo gani huyu?
 
Kwahiyo hata maandiko yanamruhusu mwanaume kuzaa nje ya ndoa si ndiyo??
Huu ubishi tushauongelea. Nakusihi dada yangu usijilinganishe na mwanamume. Wote mtafanya mapenzi, utazaa, mtatubu, mtasamehewa, shida utabaki nayo wewe. Kiroho umesamehewa, kimwili hauaminiki tena. Mwanamume uliyezaa naye ataoa binti mwingine wa chaguo lake na kukuacha na majuto. Fungua macho kwenye maisha halisi, acha kiburi. Utaumia
 
Back
Top Bottom