Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Stereotyping

Mabinti wasio na watoto wangekua dili sana basi wangekua wameolewa wote huku single mothers wakiachwa...ila God is for us all[emoji3526]
By the way, uliona ule umati wa wamama wa Dar es salaam pekee kwa mkuu wa mkoa? Think again wakati unafanya sampling
 
THE BITTER TRUTH AND THE SPIRITUAL AND SOCIAL REALITY OF LIFE, KWANINI MWANAMKE AKIZAA THAMANI YA MAHARI YAKE HUWA CHINI AMA KUTOKUWAPO KABISA??? KUNA BUSARA INAHITAJIKA KUELEWEKA HAPO, NI ASILIMIA CHACHE SANA YA SINGLE MOTHERS WANAOWEZA KUENDELEA NA MAHUSIANO MENGINE BILA KURUDI NA YULE BABA WATOTO, WATOTO WAMEBEBA NGUVU KUBWA ZA KIROHO KTK MUUNGANIKO AMA MPARANGANYIKO WA FAMILIA, LICHA YA HIVYO PROBABILITY YA KURUDI KATIKA MAHUSIANO YA AWALI NI MAKUBWA SANA KULIKO WATU WANAVYOFIKIRI, KIJANA ANAHTAJI BUSARA NA HEKIMA ZAIDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MA SINGLE MOTHERS KULIKO WANAVYOFIKIRI, UCAN RUIN IF NOT DESTRUCTING YOUR FUTURE, TATIZO WENGI WETU TUNAPENDA KUYACHUKULIA HAYA MAMBO LAISEE FAIRE SANA BIL KUTUMIA JICHO LA TATU KAMA SI KUWAZA WAT CAN BE 20-30 YEARS WEWE UKIWA HAUPO.
Asante mkuu, well said spiritually. Mwenye kubisha na abishe lakini ukweli mchungu utasimama
 
Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Swali ni illogical, mimi nimeongelea sababu mojawapo ya matatizo kwenye ndoa, wewe unatafsiri kuwa hiyo ndio sababu pekee. Nawaonya vijana, young generation ambao hawajaingia kwenye ndoa, wasije wakafakimia wasichokijua bali wafanye informed decisionz.
 
Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Pia uzoefu wa ndoa uanousemea wala hauna. Mimi naongelea mambo yanayoizunguka jamii, sio ndoa yako. Bythe way guess what, nishakusoma kitambo kisaikolojia.
 
Tatizo lako haujibu maswali yangu!!

Hawa wanawake wanaoolewa kila siku wote hawana watoto??
Unaelewa maana ya sampling? Hivi tukisema watusi ni warefu ina maana hakuna wafupi? Hili swali ni illogical
 
Good, God is for us all, just change your ways lady. Also you need to learn the backwardness of God, utaelewa kama ni steriotyping or not. Kuolewa is not an issue, hapa naongea na vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa, ila wapo wasio na ipako wa "fresh." Waleeni binti zenu katika maadili mema, hata Mungu anataka hivyo.
Sema jinsia zote zilelewe vizuri
Kwa kua tendo la uzinzi ni la wawili.,

Kuacha mtoto wako sio ushujaa sana.,

Yesu angeshuka tena leo angekuambia the same lines he said miaka elf 2 iliopita 'asie na dhambi amtumpie mawe single mom/mwanamke malaya'
 
Wewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongwza upeo.

Ungekuwa na upeo usingekimbia msawali.

Mwanamke yeyote akiolewa kwa makubaliano na mwanamme wake, wewe kinachokuuma ni kipi?
Anaumia sana kuona assumption zake kichwani hazi'hold in real life
 
Why u always painting men as winners and women as always losers?..what if umekosea kuoa?.

Uhalisia hauko hivyo siku zote...Mungu anabariki KE na ME...btw kuzaa na kuacha sio sifa

Mnaishi jamii gani jamani

Mboni kaolewa juzi tu miaka 40 na mwanae juu
Na mama diamond mfano wa pili[emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunzeni kwa Baba Diamond jmn
Zaa uache ukadhani mtoto atakua muokota makopo kumbukeni Mungu si Athumani ...
Mkuu, mbona wapo wanaoolewa? Kumbe hujaelewa lengo la uzi huu, ni kuwazindua vijana mfano wa hao uliowataja kabla hawajaingia huko. Halafu hiyo mifano unayoitaja sipendi sana kuiongelea, no mentioning names. Wanajua mechanics walizotumia kufika huko, sitaki kabisa kujiingiza kuzisema hapa, nenda kwenye mitandao ya kijamii mingine utajifunza neno.

Mimi nawakumbusha mabinti kuzuia tamaa zao na vijana wote pi? Ni sifa njema kuolewa bila makandokando.

Kuzaa na kuacha sio sifa, wrong!! Kufanya mapenzi nje ya ndoa sio sifa njema achia mbali kuzaa.
 
Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk

😀😀

Hawatakuelewa... tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Mkuu, mbona wapo wanaoolewa? Kumbe hujaelewa lengo la uzi huu, ni kuwazindua vijana mfano wa hao uliowataja kabla hawajaingia huko. Halafu hiyo mifano unayoitaja sipendi sana kuiongelea, no mentioning names. Wanajua mechanics walizotumia kufika huko, sitaki kabisa kujiingiza kuzisema hapa, nenda kwenye mitandao ya kijamii mingine utajifunza neno.

Mimi nawakumbusha mabinti kuzuia tamaa zao na vijana wote pi? Ni sifa njema kuolewa bila makandokando.

Kuzaa na kuacha sio sifa, wrong!! Kufanya mapenzi nje ya ndoa sio sifa njema achia mbali kuzaa.
Unajitetea tu saivi..we have seen the stereotype already..
 
Anaumia sana kuona assumption zake kichwani hazi'hold in real life

Prince Charles kamuoa Camilla Parker-Bowles wakati Camilla ana watoto wawili tayari.

Na hao ndiyo ma snob of snobs, British Royal Family.

Mtu kama huyu siku akisikia Prince Harry kaoa single mother anaweza kuandamana kupinga ndoa.

Wakati anaowashupalia ndoa zao hata hawajui kwamba yeye yupo duniani!
 
We jamaa ni WOMAN OPPRESSOR aisee... Mitazamo yako ni too archaic...
Like men hawakosei. Very Wrong.
Yup, jinsi unavyoniona. Kila mtu ana mtazamo wake, who am I to deny such allegations!! Wengine ni oppressors ninyi wengineni liberators, that makes US.
 
Back
Top Bottom