Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

We jamaa ni WOMAN OPPRESSOR aisee... Mitazamo yako ni too archaic...
Like men hawakosei. Very Wrong.
Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.
 
Yani hili uliloongea waliona ligumu. Lipo tunaliishi tunalijua .. Wewe unaona umeongea kitu kipyaa..

Acha.

Una mtazamo hasi dhidi ya wanawake... Na huenda ujui lazima shida inaanzia kwenye malezi yako...tabia ulizorithi toka kwa walezi wako au hata jamii ulikokulia ilikuwa na mtazamo gani dhidi ya wanawake .. Si bure.
Wapo walioona ni kitu kipya, kwa wewe unayeliishi good luck. So kukaa kimya kwako itakuwa busara zaidi.
 
Prince Charles kamuoa Camilla Parker-Bowles wakati Camilla ana watoto wawili tayari.

Na hao ndiyo ma snob of snobs, British Royal Family.

Mtu kama huyu siku akisikia Prince Harry kaoa single mother anaweza kuandamana kupinga ndoa.
So true

Funny enough Prince Charles alimuoa Lady Di akiwa bikra kabisa but look what he did to her....

Prince Harry kaoa divorcee anaemzidi umri kabisaa

Maisha ni zaidi ya Do's and Dont's everybody can get a chance to try again
 
Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.
Mhh mentality yako ile ile ya 'wishful thoughts'
Ikiegemea kumuonea binti
 
Wewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongeza upeo.

Ungekuwa na upeo usingekimbia msawali.

Mwanamke yeyote akiolewa kwa makubaliano na mwanamme wake, wewe kinachokuuma ni kipi?
Swali hilo limekuonyesha upeo wako ni mfupi sana. Hivi hao wanaokubaliana wanakwenda semina kutaka nini wakati tayari wana makubaliano? Hivi vijana wanaotaka kuoa wanatafuta ushauri wa nini? Swali lako ni mojawapo ya illogical questions ndio maana sihangaiki nalo.
 
Kwani mkuu wewe hakuna Ndugu yako wakike kaolewa akati tayari alikuwa ashazaa????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Sema jinsia zote zilelewe vizuri
Kwa kua tendo la uzinzi ni la wawili.,

Kuacha mtoto wako sio ushujaa sana.,

Yesu angeshuka tena leo angekuambia the same lines he said miaka elf 2 iliopita 'asie na dhambi amtumpie mawe single mom/mwanamke malaya'

Kuhusu dhambi ni mtazamo tofauti kabisa na kilichopo. Please, don't christianize this thread!! Nimeandika kwa watu wote wa imani zote.

Tukija kwenye imani ya kikristo kama uliyotaka, hata enzi za Yesu makahaba waasherati walikuwapo. Lakini ajabu kwako ni kuwa aliagiza waolewe bikira tu, kwa nini? Hiyo ndio standard ya Mungu, mengine ni kutegemea neema. Ukiiba ukatolewa macho utabaki kipofu hata ukitubu. Kupona upate kuina ni neema ya ajabu (muujiza), vinginevyo utapokea msahama wa dhambi ukitubu kwa kumaanisha, halafu utaendelea kuishi kipofu maisha yako yote.

Wakati wewe unayejifichia kwa Yesu ukidhani kuacha mtoto sio ushujaa, Yesu anasema uasherati ni dhambi. Habari ya mtoto ni matokeo ya uasherati na hakuna sehemu kwenye Biblia imemwamuru mwanamume kumtwa mtoto wa nje ya ndia kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kuhalalisha uasherati na uzinzi. Biblia inashughulika na mzizi wa dhambi.
 
Unajitetea tu saivi..we have seen the stereotype already..
I don't care umenionaje, wala sihitaji nikufurahishe, mimi nasema ukweli vijana wafunguke macho, mabinti kwa wavulana. Kama nimekuudhi halikuwa lengo langu, ila jamii imepaswa kubadilika. Ikimbieni zinaa.

Hata makanisani dhambi siku hizi hazikemewi kwa lengo la kuhifadhi waumini, so nikisema mimi sishangai ukanichukia. Biblia imekataza kuoa wanawake waasherati, achia mbali walioleta ushahidi wa watoto. So its up to you my lady.

Mwanamke anayeweza kuolewa kwa amani kabisa kama kijana kaamua hivyo ni mjane. Na ninyi mnaowaita wajane ma single lady mnakosea sana, hawa ni wanawake wenye heshima zao, wameunganishwa na familia tayari kumzalia Mungu matunda. Mume akifa hawa wamekuwa chini ya uangalozi wa familia ya mume, kwani ni wamoja.

Kama mwanamke mjane akiolewa ni sahihi katika ulimwengu wa roho kwa sababu ile nafsi iliyofanya kiapo naye haipo tena duniani. Kumbuka ule mfano wa mtu aliyeolewa na wanaume saba, wote walitajwa kwa condition moja tu, alipokufa huyu aliolewa na yule. Kifo, kifo, kifo!! Until death do us apart!! Sio njemba bado ipo inakula oxygen halafu unajidai kuoa mke mwenye mkataba wa kiroho na njemba hiyo. Now this is spiritual in a nutshell.
 
That's the fact. usijaribu kumwoa mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako kama hakuna ulazima wa kufanya hivo. kuna mziki wake.
 
Kuhusu dhambi ni mtazamo tofauti kabisa na kilichopo. Please, don't christianize this thread!! Nimeandika kwa watu wote wa imani zote.

Tukija kwenye imani ya kikristo kama uliyotaka, hata enzi za Yesu makahaba waasherati walikuwapo. Lakini ajabu kwako ni kuwa aliagiza waolewe bikira tu, kwa nini? Hiyo ndio standard ya Mungu, mengine ni kutegemea neema. Ukiiba ukatolewa macho utabaki kipofu hata ukitubu. Kupona upate kuina ni neema ya ajabu (muujiza), vinginevyo utapokea msahama wa dhambi ukitubu kwa kumaanisha, halafu utaendelea kuishi kipofu maisha yako yote.

Wakati wewe unayejifichia kwa Yesu ukidhani kuacha mtoto sio ushujaa, Yesu anasema uasherati ni dhambi. Habari ya mtoto ni matokeo ya uasherati na hakuna sehemu kwenye Biblia imemwamuru mwanamume kumtwa mtoto wa nje ya ndia kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kuhalalisha uasherati na uzinzi. Biblia inashughulika na mzizi wa dhambi.
Yesu lini alisema waolewe mabikra tu ?..

ushawahi toa mwanamke bikra kweli?.maana unaiona keki sana
 
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
Ikimbieni zinaa.
 
Wapo, uliza swali
Why hukuwaambia na kuwashauri wanaowaoa kuwa wanakosea Njiaa wawache wakatafute Wanawake wengine..??? Kama sio unafiki ni nini??? Unakuja kuharibu mind za vijana waliopendana na kuwa na Plana na single mama wao wewe unaharibuu akili zaoo..
 
Anaumia mana formality alizoweka kichwani na hali halisi hazichezi...anaishia kuja na 'how its supposed to be'
Maisha hayako ndani ya box..mambo ni mengi
Ni kama vile useme wasio na degree wote watakua na maisha magumu sana...wkt kuna wafanyabiashara hawajui hata degree ni nini na hawana maisha magumu
Huyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..

Lakini pia atakua haamini katika sheria ya KARMA....

hili aliloliandika si mda linaenda tokea ktk familia yake...
 
Huyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..

Lakini pia atakua haamini katika sheria ya KARMA....

hili aliloliandika si mda linaenda tokea ktk familia yake...
Ni mnafikiii sanaa huyu jamaa... Anajikuta mshauri mzuri hapa Jf lakini huko kwenye familia yake hawezi simamia hayaa... Nyuma ya keybod anashupaza shingo balaa...!!
 
Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.
From your perception Mkuu. ... How you perceive single moms...
Wewe ndo umejipa sifa hizo..

Change. You have sisters somewhere! You never know.
 
Back
Top Bottom