By the way, uliona ule umati wa wamama wa Dar es salaam pekee kwa mkuu wa mkoa? Think again wakati unafanya samplingStereotyping
Mabinti wasio na watoto wangekua dili sana basi wangekua wameolewa wote huku single mothers wakiachwa...ila God is for us all[emoji3526]
Ndipo upeo wako ulipoishia, need I say more?Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijakuuliza.
Watu wazima wamekubaliana kuwa katika ndoa, wewe kinachokuwasha ni nini?
Asante mkuu, well said spiritually. Mwenye kubisha na abishe lakini ukweli mchungu utasimamaTHE BITTER TRUTH AND THE SPIRITUAL AND SOCIAL REALITY OF LIFE, KWANINI MWANAMKE AKIZAA THAMANI YA MAHARI YAKE HUWA CHINI AMA KUTOKUWAPO KABISA??? KUNA BUSARA INAHITAJIKA KUELEWEKA HAPO, NI ASILIMIA CHACHE SANA YA SINGLE MOTHERS WANAOWEZA KUENDELEA NA MAHUSIANO MENGINE BILA KURUDI NA YULE BABA WATOTO, WATOTO WAMEBEBA NGUVU KUBWA ZA KIROHO KTK MUUNGANIKO AMA MPARANGANYIKO WA FAMILIA, LICHA YA HIVYO PROBABILITY YA KURUDI KATIKA MAHUSIANO YA AWALI NI MAKUBWA SANA KULIKO WATU WANAVYOFIKIRI, KIJANA ANAHTAJI BUSARA NA HEKIMA ZAIDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MA SINGLE MOTHERS KULIKO WANAVYOFIKIRI, UCAN RUIN IF NOT DESTRUCTING YOUR FUTURE, TATIZO WENGI WETU TUNAPENDA KUYACHUKULIA HAYA MAMBO LAISEE FAIRE SANA BIL KUTUMIA JICHO LA TATU KAMA SI KUWAZA WAT CAN BE 20-30 YEARS WEWE UKIWA HAUPO.
Swali ni illogical, mimi nimeongelea sababu mojawapo ya matatizo kwenye ndoa, wewe unatafsiri kuwa hiyo ndio sababu pekee. Nawaonya vijana, young generation ambao hawajaingia kwenye ndoa, wasije wakafakimia wasichokijua bali wafanye informed decisionz.Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Wewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongeza upeo.Ndipo upeo wako ulipoishia, need I say more?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu zangu mimiOkay Khan
Pia uzoefu wa ndoa uanousemea wala hauna. Mimi naongelea mambo yanayoizunguka jamii, sio ndoa yako. Bythe way guess what, nishakusoma kitambo kisaikolojia.Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Wazae hovyo ili waoleweHalafu wakishaogopa??
Unaelewa maana ya sampling? Hivi tukisema watusi ni warefu ina maana hakuna wafupi? Hili swali ni illogicalTatizo lako haujibu maswali yangu!!
Hawa wanawake wanaoolewa kila siku wote hawana watoto??
[emoji28][emoji28] mwenye masikio na asikie!!Tatizo lako ni moja tu, unaongea ukweli bila hata kutumia maneno ya kupooza. Unakunguta hadi nyoyo zinauma.
Sema jinsia zote zilelewe vizuriGood, God is for us all, just change your ways lady. Also you need to learn the backwardness of God, utaelewa kama ni steriotyping or not. Kuolewa is not an issue, hapa naongea na vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa, ila wapo wasio na ipako wa "fresh." Waleeni binti zenu katika maadili mema, hata Mungu anataka hivyo.
Anaumia sana kuona assumption zake kichwani hazi'hold in real lifeWewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongwza upeo.
Ungekuwa na upeo usingekimbia msawali.
Mwanamke yeyote akiolewa kwa makubaliano na mwanamme wake, wewe kinachokuuma ni kipi?
Mkuu, mbona wapo wanaoolewa? Kumbe hujaelewa lengo la uzi huu, ni kuwazindua vijana mfano wa hao uliowataja kabla hawajaingia huko. Halafu hiyo mifano unayoitaja sipendi sana kuiongelea, no mentioning names. Wanajua mechanics walizotumia kufika huko, sitaki kabisa kujiingiza kuzisema hapa, nenda kwenye mitandao ya kijamii mingine utajifunza neno.Why u always painting men as winners and women as always losers?..what if umekosea kuoa?.
Uhalisia hauko hivyo siku zote...Mungu anabariki KE na ME...btw kuzaa na kuacha sio sifa
Mnaishi jamii gani jamani
Mboni kaolewa juzi tu miaka 40 na mwanae juu
Na mama diamond mfano wa pili[emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunzeni kwa Baba Diamond jmn
Zaa uache ukadhani mtoto atakua muokota makopo kumbukeni Mungu si Athumani ...
Unajitetea tu saivi..we have seen the stereotype already..Mkuu, mbona wapo wanaoolewa? Kumbe hujaelewa lengo la uzi huu, ni kuwazindua vijana mfano wa hao uliowataja kabla hawajaingia huko. Halafu hiyo mifano unayoitaja sipendi sana kuiongelea, no mentioning names. Wanajua mechanics walizotumia kufika huko, sitaki kabisa kujiingiza kuzisema hapa, nenda kwenye mitandao ya kijamii mingine utajifunza neno.
Mimi nawakumbusha mabinti kuzuia tamaa zao na vijana wote pi? Ni sifa njema kuolewa bila makandokando.
Kuzaa na kuacha sio sifa, wrong!! Kufanya mapenzi nje ya ndoa sio sifa njema achia mbali kuzaa.
Nilikuwa najibu post mkuu, don't take it personal.We unapata tabu ya nini
Si ukachukue aliechoropoa mimba uoe utulie.?
According to you, ni vizuri kutofautiana mitazamo. Bila hivyo maisha yatachujaAisee mtazamo wako ni wa HOVYOOO....
Anaumia sana kuona assumption zake kichwani hazi'hold in real life
Yup, jinsi unavyoniona. Kila mtu ana mtazamo wake, who am I to deny such allegations!! Wengine ni oppressors ninyi wengineni liberators, that makes US.We jamaa ni WOMAN OPPRESSOR aisee... Mitazamo yako ni too archaic...
Like men hawakosei. Very Wrong.