Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi kama ni hivyo heri huo mto nisiuvuke
Kutoa mimba kwa msamba?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Yaani akichana msamba inatoka?
Inaonekana hujaelewa nilichokiandika.
Nimesema yakishakukuta unatakiwa kujitathmin na kujutia ulililofanya na kutorudia tena kufanya jambo hilo,ila mimba usitoe,komaa uzae.
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Eeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anasema huwa anamwaga maji ya sabuni kwenye tiles halafu anapiga msamba inatoka yenyewe
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.Basi ni aidha hautuelewi au hautaki kutuelewa hakuna aliyetetea wanawake kuzaa bila ndoa ila tunachosema ni kwamba kwanini tendo linalohusisha jinsia mbili lawama ziende kwa jinsia moja eti kwa sababu tu jinsia moja ndiyo inaumia zaidi nyingine haiumii?? Tukiwaambia hivyo mnasema mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume wakati hapa sisi tunajaribu kukemea maovu kwa jinsia zote kwa sababu tukishikia bango jinsia moja jinsia nyingine itajiona haina hatia na haihusiki kabisa kitu ambacho siyo kweli!!
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.
Sasa wewe unachokifanya hapa ni kulazimisha tujadili vitu visiovyokuwepo ndani ya mada. Kumbuka hii mada inahusu tabia au mienendo ya mtu ambaye tayari ni single mother ndani ya mahusiano yake mapya na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.
Michango yako wewe na ya wengine wenye mawazo sawa na wewe inajikita kwenye sababu au wasababishi wa hao single mothers, sasa hauoni hapo uko kwenye mjadala mwingine?
Naomba leo ufungue uzi unaohusiana na wasababishi wa single mothers hasa wanaume tuje tujadili.
Marianah bwana nna wasi wasi utakuwa unapuliza ganja kabla ya kuingia JF.Hivi unadhani kwanini mods mara nyingi wanaunganisha nyuzi??
Kwa hiyo tuache kwanza hii mada halafu tujadili kwanza visababishi vya single mother ama?Kama Jinsi bikra ilivyoingizwa kwenye hii mada naye ameingiza wazo lake kama mzizi wa tatizo na haya mambo yanaenda sambamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Nani nimecheka mimiMarianah bwana nna wasi wasi utakuwa unapuliza ganja kabla ya kuingia JF.
Hili ni la kuniuliza mimi au hao hao mods wenyewe?
Ni sehemu ya mada pia.Kwa hiyo tuache kwanza hii mada halafu tujadili kwanza visababishi vya single mother ama?
😊😊😊😊 Cheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hali ya Nani nimecheka mimi
Kwa hiyo unadhani amekosea kukuuliza!?Marianah bwana nna wasi wasi utakuwa unapuliza ganja kabla ya kuingia JF.
Hili ni la kuniuliza mimi au hao hao mods wenyewe?
Nikuoneshe threads zinazoongelea hilo la visababishi vya single mother?Ni sehemu ya mada pia.
Tujadili vyotevyote
Mbona bikra imejadiliwa
Wewe ndio utakuwa umebugia kitu lizarazu..badala ya kujibu swali la dada, Wewe unaleta porojo za bangi[emoji3][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Cheka
Basi msaidie wewe mimi sijui.Kwa hiyo unadhani amekosea kukuuliza!?
Acha kukwepa swali
Kumbe 😘😘Wewe ndio utakuwa umebugia kitu lizarazu..badala ya kujibu swali la dada, Wewe unaleta porojo za bangi[emoji3]
Hata hii pia inahusiana mbona.Nikuoneshe threads zinazoongelea hilo la visababishi vya single mother?
Kwanza bikra ni sehemu ya mada isome vizuri.
Kwa sababu mambo ni yaleyale..kwa hiyo usiendelee kumsumbua kwamba akaanzishe mada nyingine maana itaunganishwa hapaBasi msaidie wewe mimi sijui.
Ni kwanini mods wanapenda kuunganisha nyuzi?
Sasa hizo za Nini!?Kumbe [emoji8][emoji8]
Huyoo single mother amesababishiwa using mother na mwanaume ambae ni miongoni mwa wanaume wasio waheshimu wanawake
Umemzalisha,umekataa kumtunza mtt wako yey anaamua kumtunza mtt wake bila baba kwa machungu na maumivu anayopitia
Unaamua kumtafuta bint 20,unasema singo mother amelegea kwa kuzaa(hauna adabu kabisa)ulie mlegeza ni wewe
Wakati unamuona singo mother amelegea,wewe mwenyewe haijakaza sawasawa yakwako pia imelegea kama utumbo wa kuku[emoji2][emoji1]huyoo binti anda 20 anakuangalia tuu,kuna siku atavunja ukimya
Tuwaheshimu wanawake,hakupenda kuwa singo mother