Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Eeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anasema huwa anamwaga maji ya sabuni kwenye tiles halafu anapiga msamba inatoka yenyewe
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa Mtu Kama huyu duh,,si Bora single mama jamani
 
Basi ni aidha hautuelewi au hautaki kutuelewa hakuna aliyetetea wanawake kuzaa bila ndoa ila tunachosema ni kwamba kwanini tendo linalohusisha jinsia mbili lawama ziende kwa jinsia moja eti kwa sababu tu jinsia moja ndiyo inaumia zaidi nyingine haiumii?? Tukiwaambia hivyo mnasema mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume wakati hapa sisi tunajaribu kukemea maovu kwa jinsia zote kwa sababu tukishikia bango jinsia moja jinsia nyingine itajiona haina hatia na haihusiki kabisa kitu ambacho siyo kweli!!
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.

Sasa wewe unachokifanya hapa ni kulazimisha tujadili vitu visiovyokuwepo ndani ya mada. Kumbuka hii mada inahusu tabia au mienendo ya mtu ambaye tayari ni single mother ndani ya mahusiano yake mapya na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.

Michango yako wewe na ya wengine wenye mawazo sawa na wewe inajikita kwenye sababu au wasababishi wa hao single mothers, sasa hauoni hapo uko kwenye mjadala mwingine?

Naomba leo ufungue uzi unaohusiana na wasababishi wa single mothers hasa wanaume tuje tujadili.
 
Kama Jinsi bikra ilivyoingizwa kwenye hii mada naye ameingiza wazo lake kama mzizi wa tatizo na haya mambo yanaenda sambamba
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.

Sasa wewe unachokifanya hapa ni kulazimisha tujadili vitu visiovyokuwepo ndani ya mada. Kumbuka hii mada inahusu tabia au mienendo ya mtu ambaye tayari ni single mother ndani ya mahusiano yake mapya na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.

Michango yako wewe na ya wengine wenye mawazo sawa na wewe inajikita kwenye sababu au wasababishi wa hao single mothers, sasa hauoni hapo uko kwenye mjadala mwingine?

Naomba leo ufungue uzi unaohusiana na wasababishi wa single mothers hasa wanaume tuje tujadili.
 
Nikuoneshe threads zinazoongelea hilo la visababishi vya single mother?

Kwanza bikra ni sehemu ya mada isome vizuri.
Hata hii pia inahusiana mbona.
Sio lazima hiyo yako unayoitaka.
Bikra inahusiana ndiyo sijakataa na naunga mkono hoja kwa asilimia Mia moja[emoji14]
Hoja ya Marianah pia naunga mkono
 
Mwapoleni mkwai
Huyoo single mother amesababishiwa using mother na mwanaume ambae ni miongoni mwa wanaume wasio waheshimu wanawake
Umemzalisha,umekataa kumtunza mtt wako yey anaamua kumtunza mtt wake bila baba kwa machungu na maumivu anayopitia
Unaamua kumtafuta bint 20,unasema singo mother amelegea kwa kuzaa(hauna adabu kabisa)ulie mlegeza ni wewe

Wakati unamuona singo mother amelegea,wewe mwenyewe haijakaza sawasawa yakwako pia imelegea kama utumbo wa kuku[emoji2][emoji1]huyoo binti anda 20 anakuangalia tuu,kuna siku atavunja ukimya

Tuwaheshimu wanawake,hakupenda kuwa singo mother
 
Back
Top Bottom