Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Kwa Mungu kugumu, so umehamia kwa atheist. Feminist na Biblia wapi na wapi
Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.Hivi kumbe na wewe umewahi kubishana!?
Monster behaviourNi kweli kabisa mi nimezalisha watatu na nshaachana nao
Na siku yoyote nkiamua natafuna yeyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuona kocha
Lakini mbona ana facts,kwanini msimpinge kwa hoja!?Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.
I know you know what I mean! I know 100% for sure that you know what i mean.
Alafu Saint anne kazi yako kuchochea motoo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me sibishana tena nishaelewana na Nyenyereee...Lakini mbona ana facts,kwanini msimpinge kwa hoja!?
Una uhakika gani na hiyo source yako!??
Niko makini timu isishindwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuona kocha
Hebu niache na wewe! 😀😀😀😀😀😀😀😀😀Lakini mbona ana facts,kwanini msimpinge kwa hoja!?
Una uhakika gani na hiyo source yako!??
Dude even in my house i don't take leftover spaghetti as my meal ndio ije iwe mwanamke!?! I am allergic to any form of leftover my nicca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu Saint anne kazi yako kuchochea motoo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me sibishana tena nishaelewana na Nyenyereee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu niache na wewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Saa mbili na dakika tatu and last time I checked I had 76 emails to attend.....
Good morning kiddo!
Halafu wao wa kwanza kulalama kuwa mpo out of topic.Haujajibu swali wewe uliowatoa bikira waolewe na kina nani maana nao ni wake zako
Oohh you can say your last sentence to yourself because that's what you do, telling other people what to write and what not to write.And where have you skewed these platitudes from!? Have i inappropriately spewn this shiit anywhere in my write-ups?
Btw who the bleep are you to tell me what i should write and what i shouldn't?
Wapi nimeyasema hapa kwenye hii mada?
DuuuuuuuuhEeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anasema huwa anamwaga maji ya sabuni kwenye tiles halafu anapiga msamba inatoka yenyewe
Hebu niache na wewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Saa mbili na dakika tatu and last time I checked I had 76 emails to attend.....
Good morning kiddo!
Moja, hakuna sehemu mimi nimeongelea dhambi. Hayo ya dhambi unajua mwenyewe ulikoyatoa. Na mimi sitakuja kuadvocate watu watende dhambi, sababu mshahara wake ni mzito. Mimi nimeongelea mshahara wa hiyo dhambi yenu ya kutelekezana.Kwahiyo wewe unalazimisha utofauti hadi kwenye dhambi?? Ni hivi wanaume na wanawake tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi yaani dhambi akiifanya mwanaume au mwanamke haina utofauti hata kama madhara yanatofautiana ila haibadilishi ukweli kwamba ni dhambi
Sasa msidhani eti kwa sababu kwenye haya maswala wanaoumia sana ni wanawake basi wanaume ndiyo hamstahili kuambiwa muache hapana maovu yanatakiwa yakemewe kwa jinsia zote kama maandiko yanavyosema kama hamtaki kuambiwa ukweli basi bishaneni na muumba na siyo wanawake
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.
Sasa wewe unachokifanya hapa ni kulazimisha tujadili vitu visiovyokuwepo ndani ya mada. Kumbuka hii mada inahusu tabia au mienendo ya mtu ambaye tayari ni single mother ndani ya mahusiano yake mapya na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.
Michango yako wewe na ya wengine wenye mawazo sawa na wewe inajikita kwenye sababu au wasababishi wa hao single mothers, sasa hauoni hapo uko kwenye mjadala mwingine?
Naomba leo ufungue uzi unaohusiana na wasababishi wa single mothers hasa wanaume tuje tujadili.
Marianah bwana nna wasi wasi utakuwa unapuliza ganja kabla ya kuingia JF.
Hili ni la kuniuliza mimi au hao hao mods wenyewe?