Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Eti kwa Mungu kugumu labda wewe ndiyo unaona hivyo mimi najua maandiko kuliko unavyofikiria na ninayoyaongea mimi kwa asilimia kubwa yanatokana na maandiko sasa wanaume kama ninyi msiokubali ukweli lazima mtuite majina kama feminist sijui nini mnajua wenyewe ila ukweli unauma

Si unaona hata wewe nimekupeleka kwenye maandiko ukaanza kusema oohh hii mada wanachangia hata non believers sijui nini haya ndiyo hao kina Kiranga sasa wamekuja kuchangia tukiwaunga mkono mnasema kwa Mungu kugumu hahahaha Mungu siyo mnafiki kama wewe aise soma maandiko yote na uyaelewe
Kwa Mungu kugumu, so umehamia kwa atheist. Feminist na Biblia wapi na wapi
 
Hivi kumbe na wewe umewahi kubishana!?
Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.

I know you know what I mean! I know 100% for sure that you know what i mean.
 
Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.

I know you know what I mean! I know 100% for sure that you know what i mean.
Lakini mbona ana facts,kwanini msimpinge kwa hoja!?
Una uhakika gani na hiyo source yako!??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuona kocha
Niko makini timu isishindwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmekusanya nguvu vema..mmeanza kwa Kasi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haujajibu swali wewe uliowatoa bikira waolewe na kina nani maana nao ni wake zako
Dude even in my house i don't take leftover spaghetti as my meal ndio ije iwe mwanamke!?! I am allergic to any form of leftover my nicca
 
Alafu Saint anne kazi yako kuchochea motoo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me sibishana tena nishaelewana na Nyenyereee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napanga kikosi kazi.
Hiki kikosi Cha Leo Ni hatari Sana...hata ningekua nipo upande wa pili kwa vyovyote nisingechomoa
 
Hebu niache na wewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Saa mbili na dakika tatu and last time I checked I had 76 emails to attend.....

Good morning kiddo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuachi ng'ooo.
SI unaona Hadi umekuja hapa umenisalimia.
Nitakuwa nakutafuta hukuhuku maana unanisusa mno.
 
And where have you skewed these platitudes from!? Have i inappropriately spewn this shiit anywhere in my write-ups?

Btw who the bleep are you to tell me what i should write and what i shouldn't?
Oohh you can say your last sentence to yourself because that's what you do, telling other people what to write and what not to write.
 
Halafu mbona haujibu maswali unasema tu nikuache?
Hebu niache na wewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Saa mbili na dakika tatu and last time I checked I had 76 emails to attend.....

Good morning kiddo!

Kwa hiyo unanitisha na emails 76!?[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo wewe unalazimisha utofauti hadi kwenye dhambi?? Ni hivi wanaume na wanawake tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi yaani dhambi akiifanya mwanaume au mwanamke haina utofauti hata kama madhara yanatofautiana ila haibadilishi ukweli kwamba ni dhambi

Sasa msidhani eti kwa sababu kwenye haya maswala wanaoumia sana ni wanawake basi wanaume ndiyo hamstahili kuambiwa muache hapana maovu yanatakiwa yakemewe kwa jinsia zote kama maandiko yanavyosema kama hamtaki kuambiwa ukweli basi bishaneni na muumba na siyo wanawake
Moja, hakuna sehemu mimi nimeongelea dhambi. Hayo ya dhambi unajua mwenyewe ulikoyatoa. Na mimi sitakuja kuadvocate watu watende dhambi, sababu mshahara wake ni mzito. Mimi nimeongelea mshahara wa hiyo dhambi yenu ya kutelekezana.

Mbili, jiulize mwenyewe kwa umri ulionao, umeshawahi kusikia MWANAUME AMEZAA SANA MPAKA AMECHAKAA HATAMANIKI? Ukipata majibu, utaacha kushindana na nature na utajiweka mahala salama.

Shida yako ni kutanguliza hisia za kuwa unaonewa to an extent huoni ukweli. Ukweli ni huu: Dunia ina watu wengi wabaya kwa tabia. Kwa kuwa ni wengi, na wewe hupendi watu wabaya, jambo rahisi kwako ni wewe kuifunda nafsi yako iwaepuke watu wabaya kuliko kutaka kuibadili dunia kwa hisia.

Hamna sehemu mimi nimesema wanaume wanaozalisha wanawake na kuwatelekeza wanafanya vyema, kama umenifuatilia vizuri nilikueleza kuwa hao sio wanaume, ni mabrazameni wasiojua majukumu ya mwanaume. Lakini kwa kuwa hawawabaki, huwa mnaenda huko wenyewe na akili zenu za kushikiwa, cha muhimu ni nyie waathirika kuanza kuwaza kwa kutumia ubongo badala ya moyo ili msitujazie nchi na vitoto visivyoishi na baba zao. Kama mpaka hapa hujanielewa basi atakuelewesha brazameni, maana wao huwa wana lugha mnazozielewa
 
Kwani kuna ubaya gani unapojadili effects ukaweka na causes?? Ndiyo maana hata kwenye mitihani unakuta mwalimu anakunyima marks kwa sababu wewe umeulizwa effects na ukaongelea effects tu haujataka hata kuainisha causes za hicho kitu hadi kikaleta hizo effects huo ni uvivu wa kufikiri yaani unafanya vitu kama robot aise watu wengine sijui mlienda shule kukuwa tu??
Hakuna mtu anayekataa kuwa hili tatizo la single parenthood linasababishwa na pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume na linahitaji kukemewa kwa jinsia zote mbili.

Sasa wewe unachokifanya hapa ni kulazimisha tujadili vitu visiovyokuwepo ndani ya mada. Kumbuka hii mada inahusu tabia au mienendo ya mtu ambaye tayari ni single mother ndani ya mahusiano yake mapya na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto wake.

Michango yako wewe na ya wengine wenye mawazo sawa na wewe inajikita kwenye sababu au wasababishi wa hao single mothers, sasa hauoni hapo uko kwenye mjadala mwingine?

Naomba leo ufungue uzi unaohusiana na wasababishi wa single mothers hasa wanaume tuje tujadili.
 
Back
Top Bottom