Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?
Safi kabisa,unajua kwamba kila neno lina asili yake ?

Kutumika katika Biblia sio hoja,kwani wanakuwa wamelitumia kimakosa,manenk mangapi watu wanayatumia kimakosa ?

Asili huwa inahukumu na kusahihisha mambo,rudi katika asili ya tamko "Kafiri" kisha uje kujenga hoja upya,hilo ni tamko Maalumu.

Kwanza unajua tamko "Kanisa" lina asili ya wapi ?
 
Huyo Muhammed SI angewaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu.
Kwani aliwaambia Nini!?

Na uzuri maandiko yenu yamesadifu kile kilichoongelewa kwenye Biblia kuhusu kafir
 
Usichanganye mambo.
Tunaongelea kafiri...mbona unaanza kukwepa mada
Siwezi kukwepa sababu hilo limeisha na huna hoja ya msingi na huwa sikimbii swali wala hoja.

Huu nimetoa ufafanuzi tu wa kuweka bayana katika zile aya nilizo zinukuu,YESU kwanu si mungu ? Mnamuabudu ? Kwetu sisi huyu ni mja na mtume tu.
 
Nilishampa andiko.
Tena kumbe kwa mujibu wa maandiko Yao hawamuabudu Mungu wetu aliye hai...Wana Mungu wao, Mungu wa yule jamaa aliyewaingiza mkenge.
Hili sikulijua mwanzo
Zurri Asante umenijulisha hili
Andiko nimeliona.
Na katika biblia mtu yeyote anayepinga YESU SIO MWANA WA MUNGU huyu anatambulika kama Kafiri.
Kwa maana hiyo wanaompinga Yesu/wapinga Kristo ni makafiri.
 
Siwezi kukwepa sababu hilo limeisha na huna hoja ya msingi na huwa sikimbii swali wala hoja.

Huu nimetoa ufafanuzi tu wa kuweka bayana katika zile aya nilizo zinukuu,YESU kwanu si mungu ? Mnamuabudu ? Kwetu sisi huyu ni mja na mtume tu.
Sina hoja ya msingi kivipi!?
We zurri utakuwa na wenge la usingizi si bure,mbona nimekuwekea hapo andiko la kuwaita nyinyi Makafir

Ukiona unapishana na kile nilichokiandika,ndio kubadili ukweli wenyewe Sasa ambao upo yaani ndio ukafiri wenyewe huo
 
Achana na Mada zako za Mo tupo kwenye mada pana ambayo hunauwezo nayo. Mambo ya Asili ya maneno yanahusu nini huku. Peleka upumbavu wako kwa hukohuko. Kaa kwenue mada kuwa kuoa single mama ni sawa na kama umeoa mke wa mtu.
 
Huyo Muhammed SI angewaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu.
Kwani aliwaambia Nini!?

Unaweza kunithibitishia ya kuwa wakati wa mtume Muhammad kulikuwa na Biblia,wenzako hili wameshindwa tena wenye elimu ya Biblia kuliko wewe humu ndani nimejadiliana nao sana,mwisho wanatokomea. Sasa wewe nakupa miaka yote uje kunithibitishia kwamba wakati wa mtume kulikuwepo na Biblia,pili unieleze alilitoa vipi huko ?

Nakumbusha tena,tujikite kwenye mada.
 
Andiko nimeliona.
Na katika biblia mtu yeyote anayepinga YESU SIO MWANA WA MUNGU huyu anatambulika kama Kafiri.
Kwa maana hiyo wanaompinga Yesu/wapinga Kristo ni makafiri.
Halafu kumbe walikuwa hawajui Kama Ni makafiri..si unaona hapo anajitutumua mwenyewe eti wao ndio wanapaswa kutuita hivo.
Huyu mtume wao nae,,,aliwadanganya vibaya sana
 
Sijatetea kila kitu na wala sijasema kwamba wanawake kudanganya kuwa walibakwa ni vizuri ila nimeongea kwa mujibu wa wale wanaume wanaosema kuwa utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwa maana kwamba hana alama na mimi sasa imebidi niseme kwamba kama wanadhani ni sifa mwanaume kufanya ngono hovyo kwa kisingizio cha kwamba hawana alama hivyo watadanganya

Basi wakae wakijua kuwa hata wanawake nao wanaweza wakawadanganya vile vile kuwa walipata mimba kwa kubakwa na siyo kwa uzembe wao lakini at the end of the day hoja ni kwamba wanaume wanaozalisha hovyo bila ndoa na wanawake wanaozalishwa hovyo bila ndoa wote wana makosa na wote wanatakiwa kujirekebisha regardless nani anaumia zaidi kila jinsia ibadilike na ijitunze kwa nafasi yake huu unafiki wa kuishambulia jinsia moja na kuipamba jinsia nyingine ni too illogical
 
Unadhani Biblia anaijua Sasa!?
Halafu yule jamaa aliwapa hili neno ila hakuwaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu
Hawezi kuijua.
Neno kafiri lipo kwenye biblia kabla hata ya uislam haujajulikana ni nini.
Na ikumbukwe Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia.

Ngoja niende darasani nitarudi baadae.
 
Achana na Mada zako za Mo tupo kwenye mada pana ambayo hunauwezo nayo. Mambo ya Asili ya maneno yanahusu nini huku. Peleka upumbavu wako kwa hukohuko. Kaa kwenue mada kuwa kuoa single mama ni sawa na kama umeoa mke wa mtu.
Sawa.
 
Si waliona wewe mbishi wakakuacha.
Huyo Muhammed SI amekuja juzi tu hapa...
Ukristo umekuja kitambo...
Wewe kwa Akili ya kawaida unadhani kitabu gani kilitangulia!?
 
Hawezi kuijua.
Neno kafiri lipo kwenye biblia kabla hata ya uislam haujajulikana ni nini.
Na ikumbukwe Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia.

Ngoja niende darasani nitarudi baadae.
Nakupa miaka kumi uje kuthibitisha haya kwa ushahidi wa kielimu,ukishindwa naomba uje kuwaambia wenzako.
 
Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…