Sawa.Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukariri
Unapoongea na mimi usianze kunifananisha na watu uliowahi kuongea nao.Unaweza kunithibitishia ya kuwa wakati wa mtume Muhammad kulikuwa na Biblia,wenzako hili wameshindwa tena wenye elimu ya Biblia kuliko wewe humu ndani nimejadiliana nao sana,mwisho wanatokomea. Sasa wewe nakupa miaka yote uje kunithibitishia kwamba wakati wa mtume kulikuwepo na Biblia,pili unieleze alilitoa vipi huko ?
Nakumbusha tena,tujikite kwenye mada.
Hapa pia kuna tatizo,nakuuliza swali Yesu alikuwa Mkristo ?
Ukristo umeanza lini ? Je Ukristo ni dini ?
Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.Nakupa miaka kumi uje kuthibitisha haya kwa ushahidi wa kielimu,ukishindwa naomba uje kuwaambia wenzako.
Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?Hilo unajua wewe na mtume wako.
Mimi nimeshakupa maana ya kafiri kibiblia
Naona anaanza kutuchambulia maneno sijui asili...Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukariri
Unadhani anaelewa BasiMtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
Daaah!!! Huyo mwanaume anayepelekeshwa na mwanafunzi wa age huyo kwanza sio baharia kabisa!!! Halafu mwanaume unakubalije kuhonga pesa kiasi hicho then mtoto mzembe kitandani?? Yaani huo ni ujinga uliopitiliza....Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana
Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela
Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa
Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu
Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama
Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela
NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio
Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana
Acheni maisha ya risk
Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?
Sasa unatakiwa ukiwa unasomeshwa huko uwe unauliza na maana na asili ya maneno.
Hata tamko "Kanisa" ni tamko la Kiarabu. Unalijua hilo ?
Hapa maelezo yako yanapingana,hueleweki unamzungumzia mtume Muhammad au Yesu ?Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
Kama umenipa maana ya Kafiri inaonyesha wazi kabisa hili neno si lenu bali mmelichukua na mmelichukua kimakosa,na najua kwa sababu gani.Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.
Nilishakupa maana ya neno kafiri kibiblia.
Kujua neno kafiri ,kanisa Ni la kiarabu au kinyakyusa sio Jambo la kulipa uzito
Uliza swali vizuri,usiasema "Unadhani ....."?Unadhani kristo Ni Nani!?
Kwani hujaelewa?Uliza swali vizuri,usiasema "Unadhani ....."?
Acha kujifanya haujaelewa au hadi niseme Mudi ndio uelewe nikisema mtume wenu namaanisha nini?Hapa maelezo yako yanapingana,hueleweki unamzungumzia mtume Muhammad au Yesu ?
Kama unamzungumzia YESU unasema uongo,kwani Biblia imeandikwa miaka mingi baada ya Yesu kupazwa na walianza kuandika Injili,Biblia tamko hilo limekuja miaka mingi baadae.
Kama unamzungumzia mtume wetu Muhammad,yeye alikuwa hakui kusoma wala kuandika,vipi alisomaje ?
Hivi Kati ya sisi na nyie,Ni Nani ametangulia kulitumia hili neno!??Kama umenipa maana ya Kafiri inaonyesha wazi kabisa hili neno si lenu bali mmelichukua na mmelichukua kimakosa,na najua kwa sababu gani.
Lazima lipewe uzito sababu kwenye asili ndiko kuna maana sahihi ya neno husika.
Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.
I know you know what I mean! I know 100% for sure that you know what i mean.
Uliza swali vizuri.Kwani hujaelewa?
Tatizo hakusoma tangu mwanzo.Sijatetea kila kitu na wala sijasema kwamba wanawake kudanganya kuwa walibakwa ni vizuri ila nimeongea kwa mujibu wa wale wanaume wanaosema kuwa utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwa maana kwamba hana alama na mimi sasa imebidi niseme kwamba kama wanadhani ni sifa mwanaume kufanya ngono hovyo kwa kisingizio cha kwamba hawana alama hivyo watadanganya
Basi wakae wakijua kuwa hata wanawake nao wanaweza wakawadanganya vile vile kuwa walipata mimba kwa kubakwa na siyo kwa uzembe wao lakini at the end of the day hoja ni kwamba wanaume wanaozalisha hovyo bila ndoa na wanawake wanaozalishwa hovyo bila ndoa wote wana makosa na wote wanatakiwa kujirekebisha regardless nani anaumia zaidi kila jinsia ibadilike na ijitunze kwa nafasi yake huu unafiki wa kuishambulia jinsia moja na kuipamba jinsia nyingine ni too illogical
Wewe pekee yako ndio haujui kwamba kiswahili unamaanisha LUGHA ya kiswahili maneno mengi yametoholewa kwenye kiarabu.Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?
Sasa unatakiwa ukiwa unasomeshwa huko uwe unauliza na maana na asili ya maneno.
Hata tamko "Kanisa" ni tamko la Kiarabu. Unalijua hilo ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oohh wow hiyo reliable source yako nimeikubali maana humu JF hakuna mtu nimewahi kumpa namba yangu wala hakuna mtu anayenijua humu so nalazimika kusema kwamba kwanza kabisa you are wrong about me
Pili ni bora ungeisema sababu kubwa ya wewe kuacha kubishana na mimi kuliko huo uongo ambao mtu yeyote anaweza akausema vyovyote atakavyojisikia ni sawa tu na mimi niseme kwamba nimeacha kubishana na wewe kwa sababu nakuona hauna hoja
Kwa mtazamo wangu nitaona niko sahihi ila huo unaweza usiwe uhalisia vivyo hivyo kwa hayo uliyosema kwa mtazamo wako unaweza ukaona uko sahihi lakini huo mtazamo wako unaweza usiwe uhalisia ungesema tu sababu iliyokufanya uache kubishana na mimi halafu hata hivyo humu hatubishani tunaeleweshana
Ila tatizo watu mnataka tukubali kila mnachotuambia yaani tusipinge na tukipinga basi tunaonekana tuna matatizo na hatutaki kuelimishwa anyway siyo kosa lako halafu inaonekana watu wengi humu wanatamani kunijua OMG mimi huwa nadhani tunayoongea humu yanaishia humu kumbe kuna watu wananifuatilia ili wanijue nikoje in real life oohh how I wish I had that much time to waste